Hivi wasichana waliokatisha masomo shule zao ziko wapi kwa Dar es salaam?

Hakikisha shule anayoenda kusoma iwe ni yako na pia mwalimu uwe ni ww mwenyewe. Hata hyo mtihani wa necta atakaofanya utautunga na kuusahihisha wewe mwenyewe
 
Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
Wacheki taasisi ya elimu ya watu wazima au nenda halmashauri idara ya elimu msingi muone afisa elimu watu wazima.

Mwanao atasoma bure kupitia mradi wa SEQUIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…