Hivi wasichana wanaangalia nini kwa wanaume?

ona sasa!!! hata hawasomi ramani ya vita....wankurupuka tu sasa hapo kakaangu angempa kibano tena iwe balaa!!!

Kutest zali muhimu bht maana hata ndoano unarusha hujui itanasa au lah! huoni mm kule Mby nilisimamisha kifaa kikasimama nikakipiga sera mpaka kikakolea nikakivuta sehemu ya vinywaji kikajongea kujaribu muhimu.
 
haya mtatest mpaka kwenye shoti!!
 
kuanzia nimeanza ku approachiwa mpaka nazeeka cjawahi mjibu mtu nyodo, namwambia tu "halitawezekana kaka yangu"...kwa mcctizo.

Inatakiwa unavyo mjibu hivyo unatoa na sababu za msingi.
Kwangu mm hapo kama unanipa next chance ya kujipanga upya na sera mpya.
 
hapo nakubaliana na wewe papaa, lakini ishu ni kwamba kabla ya kunifata uwe umshasoma ramani kama mie ni level yako au laa, ishu ya frnd wako ni kwamba mkaka hakuwa level yake.
 
hajaokoka ndio mana nikasema balaa halipigi hodi, kilichoendelea hapo wacha tu nijinyamazie........

Huyo jamaa aliondoka na dento fomyula iliyotimia? He! No one, narudia tena, No one, tena, NO ONE, atamtongoza mke wangu mbele ya macho yangu afu afanikiwe kuondoka na meno yake yote 32. Ama zake ama zangu! Ala!
 
Kutest zali muhimu bht maana hata ndoano unarusha hujui itanasa au lah! huoni mm kule Mby nilisimamisha kifaa kikasimama nikakipiga sera mpaka kikakolea nikakivuta sehemu ya vinywaji kikajongea kujaribu muhimu.

Bila kutesti zali, huwezi kudumisha mila!
 
usiniambie kuna continuation sema we umekat shoti

mr ali mind sana, ilinabidi mie nijikalie pembeni nijionee malumbano, lakini ckupendezewa hata kidogo...ustaarabu jamani kaka zangu unahitajika kidogo.
 
lakini ishu ni kwamba kabla ya kunifata uwe umshasoma ramani kama mie ni level yako au laa, ishu ya frnd wako ni kwamba mkaka hakuwa level yake.

Hahahaha hapo kwenye level dah ndo maana sisi wengine tunaambulia wa uswazi tu maana hawa wenye level ndo wale wa mboga 7 alafu geti kali na maumbwa juu.
 
unajua angetilia"

"Usinione mzembe, kupata ni majaliwa,
Ndevu amekosa ng'ombe, lakini mbuzi kapewa,"

ndio kusemaje tena huko jamani...haaa na wewe mume wangu una vimbwanga sana.
 
mr ali mind sana, ilinabidi mie nijikalie pembeni nijionee malumbano, lakini ckupendezewa hata kidogo...ustaarabu jamani kaka zangu unahitajika kidogo.

Ila Mr. ako hapo alijidhalilisha sana kwa nn arumbane na mtu ane rusha ndoano? wewe ulitakiwa kumwambia jamaa nipo na Mr. angu huyu hapa jamaa angekula hamsini zake. Mi nikiwaga na kifaa cha uswazi mbona miruzi na siiiiiiiiiii nyingi sana kitaa
 
Hahahaha hapo kwenye level dah ndo maana sisi wengine tunaambulia wa uswazi tu maana hawa wenye level ndo wale wa mboga 7 alafu geti kali na maumbwa juu.

cjamaanisha hivyo Fidel, nisome comments zangu za nyuma utanielewa.
 
cjamaanisha hivyo Fidel, nisome comments zangu za nyuma utanielewa.

Nimekuelewa sana.
Mtu kabla hajafanya approach lazima aangalie level ya mtu mwenyewe na yeye yupo level gani.
 
Thats my girl! Umekula Senksi! Kwa hiyo kutongozwa dili siyo? Ishu inakuwa kukubali au kukataa, siyo? Sasa hilo shenzy taipu linatongozwa badala ya kufurahi lenyewe linatukana. Shwaini!

Kutongozwa dili asikuambie mtu and it feels good sana pale ambapo anayekutogngoza naye umemdondokea ipasavyo kimapenzi tehtehtehteh

Huyo labda alikuwa kazini wengine wanakaaga sana pale kuuza sura hawana lolote.

alimjibu vibaya sana honestly it doesnt take a million of your heart beats kuwa polite na mtu hata kama hajakuvutia ila pia na wewe unayemtamani uwe na strategies za kumtokea mtu thats my whole point hapa muanzisha thread Papa Mopao. mademu wengine wanakuwaga na visirani
 
Inatakiwa unavyo mjibu hivyo unatoa na sababu za msingi.
Kwangu mm hapo kama unanipa next chance ya kujipanga upya na sera mpya.

sasa hapo utakuwa unataka makuu, cwezi kujieleza kihivyo mana kama nimekuambia haiwezekanii namaanisha hivyo.
 
Kutongozwa dili asikuambie mtu and it feels good sana pale ambapo anayekutogngoza naye umemdondokea ipasavyo kimapenzi tehtehtehteh

Hahahaha sasa inakuwaje mtu unaanza kumzungusha mara ngoja nijifikirie kana kwamba unaomba kazi? Kama umempenda weka wazi pale pale sio kuanza tena kukulia mingo road.
 
Nina swali ambalo nadhani halitoki nje ya mada sana
Hivi na wanaume nao huwa mnatongozwa na wadada??na unajisikiaje ukiwa unatongozwa na mwanamke???
 
Huyo jamaa aliondoka na dento fomyula iliyotimia? He! No one, narudia tena, No one, tena, NO ONE, atamtongoza mke wangu mbele ya macho yangu afu afanikiwe kuondoka na meno yake yote 32. Ama zake ama zangu! Ala!

ndio nakuambia kilichoendelea hapo mie nilijikalia pembeni tu naduwaa.
 
Na ikatokea ukatongozwa na watu 10 na wote ukavutiwa nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…