hahaaa!!! inaudhi afu eti wewe ndo unasimama mwenyewe tayari kutoa msaad kumbe limjamaa lina ajenda yake!!!
siku moja kanisimamisha jamaa imagine asubh naenda kazini huku kashika kichapati chake kimefungwa kwenye gazeti.......loh God forgive me...tena anakigugumizi eti dada smahani, una haraka!!!!???? (kilichoendelea kila mtu anaweza kuimajini apendavyo)
hahaaaa sitaki kukumbuka jamani mamen bana aah!!![/QUOTE]
Kweli wakati mwingine inakera bht,wakati mwingine huwa natamani hata kulia.Kuna babu mmoja kabakiza mwaka 1 astaafu halafu ana wake 2 tayari lakini naye anataka niwe mkewe wa ndoa.Ukimwangalia amechoka na anavyojiweka mwenyewe loooh,utachoka(sio kama namtukana ndio ukweli alivo).Huwa natamani kumtukana lakini Nashukuru Mungu sikuumbwa na mdomo wa matusi.Yani samtaimz ni kero kwelikweli.