Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Kwa sasa hata bidhaa za kawaida tulizokuwa tunanunua bila mawazo inabidi kuumiza kichwa ili usipigwe. Dawa ya meno usiponunua duka la dawa kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa na fake zenye ladha na texture za ajabu ajabu. Mafuta ya kula nayo lazima utulie, sometimes unahisi tumeletewa gutter oil kutoka kwa wachina. Cable, charger vyote lazima uumize kichwa. Sabuni za kuogea nazo shida tupu.
Maisha ya kukutaka kuchunguza kila bidhaa wakati tumeajiri watu kwa kazi hiyo ni magumu sana. Umewahi kutana na bidhaa akasema hii nimepigwa fake?
Maisha ya kukutaka kuchunguza kila bidhaa wakati tumeajiri watu kwa kazi hiyo ni magumu sana. Umewahi kutana na bidhaa akasema hii nimepigwa fake?