Hivi watafiti wa bongo hufanya kazi gani?

Hivi watafiti wa bongo hufanya kazi gani?

Hivi hawa hufanyaje hizi tafiti zao. Maana navyojua sio rahisi kufanya utafiti hapa bongo hasa ukizingatia hatuna miundombinu rafiki. Hatuna uwekezaji wala wataalamu wanaoweza kufanya hizi zaidi ya ku dowload tafiti za watu wa nje huko. Kwa nini tunaziita tafiti ile hali ni copy na ku paste.
Mama amewamwagia mapesa na utafiti wanafanya na matokeo yapo.

Mama Samia tuu ndio anaelewa maana ya Utafiti wengine hawajielewi labda Nyerere alijaribu.
 
Guys, mi nataka ile research mtafiti una OBSERVE area unayotarget, then una KISIA nini chanzo halafu una PREDICT majibu, baada ya hapo unafanya sasa kwa VITENDO kuona kama utapata matokeo uliyokisia ama tofauti then unaandika REPORT yako sasa. Sio kufanya review, huyo unaetumia review yake yeye aliitoa wapi?
 
Research zinafanyika sana tu. Ma file yako makabatini kwenye wizara, taasisi na mashirika ya umma. Wakulaumiwa ni wale wavivu, walio na ubongo wenye ukungu, hawataki maendeleo, wanafanya kazi kwa mazoea, kwao hawana uzalendo wala kujali maendeleo ya nchi!
Mfano treni ya Mwakyembe nk nk...
Outlet ya tafiti ni peer review publication, siyo mafaili ya serikalini. Ripoti kama za consultancy au za tume huo siyo utafiti, ni maoni ya mwandikaji ambayo hawezi kuthibitishwa na mwandikaji mwingine huru.
 
Back
Top Bottom