Hivi watafiti wa bongo hufanya kazi gani?

Mama amewamwagia mapesa na utafiti wanafanya na matokeo yapo.

Mama Samia tuu ndio anaelewa maana ya Utafiti wengine hawajielewi labda Nyerere alijaribu.
 
Guys, mi nataka ile research mtafiti una OBSERVE area unayotarget, then una KISIA nini chanzo halafu una PREDICT majibu, baada ya hapo unafanya sasa kwa VITENDO kuona kama utapata matokeo uliyokisia ama tofauti then unaandika REPORT yako sasa. Sio kufanya review, huyo unaetumia review yake yeye aliitoa wapi?
 
Outlet ya tafiti ni peer review publication, siyo mafaili ya serikalini. Ripoti kama za consultancy au za tume huo siyo utafiti, ni maoni ya mwandikaji ambayo hawezi kuthibitishwa na mwandikaji mwingine huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…