konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
For instance:
“Give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”
“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”
“Unless you bring my laptop I will not give you back your book”
“Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”
Nimeona nipandishe hii mifano ili nieleweke zaidi maana kuna watu humu wanatetea vitu viko wazi kabisa.