Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

EC5FDE94-BAE2-482F-A938-4C2677B67DA1.jpeg
 
Kiranga is a singularity, unless otherwise stated.
Kwa hiyo hata wewe mkuu unaona matumizi ya haya maneno ni sahihi kutamkwa kwa kufuatana? Ushawahi kuwasikia wabongo wanavyoyapachika kwenye statements zao? Ni sawa na kusema "JAPOKUWA INGAWA Mariam alikuwa ana umri mdogo lakini aliajiriwa"
 
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Sio kwamba watu hawajui...ni mazoea..cha msingi msikilizaji anaelewa nn kinamaanishwa...mbona tunachapia maneno mengi ktk kiswahili....mfano NILIMKUTA HAYUPO..!!

Kingereza chenyewe kina kanuni ya kwamba hasi na hasi haziendan

Mfano huwez kusema I DON'T HAVE NOTHING...unatakiwa useme I DON'T HAVE ANYTHING..sasa angalia ni wazungu wangapi wanakosea....cha msingi ni msikilizaji ameelewa au la!!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Inabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja
Tunaongea sana..mfano USHAURI NASAHA..si maneno 2 yenye maana moja..!!inshu ni watu washazoea ..na lugha ni watu..km wamezoea kukosea lkn wanaelewana m naona haina shida..cha msingi wameelewana[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba watu hawajui...ni mazoea..cha msingi msikilizaji anaelewa nn kinamaanishwa...mbona tunachapia maneno mengi ktk kiswahili....mfano NILIMKUTA HAYUPO..!!

Kingereza chenyewe kina kanuni ya kwamba hasi na hasi haziendan

Mfano huwez kusema I DON'T HAVE NOTHING...unatakiwa useme I DON'T HAVE ANYTHING..sasa angalia ni wazungu wangapi wanakosea....cha msingi ni msikilizaji ameelewa au la!!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Uko sahihi mkuu ila kinachonishangaza inakuwaje namba iwe kubwa hivi yaani karibia watanzania wote wanapoongea inapofikia kutumia maneno haya wanayatumia kwa wakati mmoja, inaonyesha hii sio bahati mbaya bali kingereza cha hivi kinafundishwa shuleni. Mimi high school nimesoma English as first language kwa sababu shule niliyosoma Kiswahili hakikuwepo kama option na ilikuwa lazima usome masomo wawili ya lunga moja likiwa first language kama mother tongue na jingine second language, na maneno kama haya yenye maana moja unapoyatumia kwa kufuatana ni unnecessary wording na inaonyesha jinsi gani vocabulary yako ilivyo na shida. Kweli hata wazungu huwa wanakosea kutumia hasi na hasi kama ulivyosema hasa wamarekani weusi lakini haimaanishi hawajui kama wanakosea huwa ni swaga zao tu kwenye kuongea lakini huwezi kuwakuta wanatumia hasi na hasi kwenye kuandika.
 
Tunaongea sana..mfano USHAURI NASAHA..si maneno 2 yenye maana moja..!!inshu ni watu washazoea ..na lugha ni watu..km wamezoea kukosea lkn wanaelewana m naona haina shida..cha msingi wameelewana[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mimi ninavyodhani hawajui kama wanakosea bali wanaamini kutumia maneno hayo kwa wakati mmoja ni sahihi kwa sababu ni wengi sana wana kiingereza cha hivyo.
 
Hebu tuambie inakukeraje? Unless otherwise nawewe hujui wala hukereki pia
 
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Mi bana ndio maana nnapenda kinyerere unless otherwise hebu nambie mbona kuna sentensi nyingine wazungu haohao hutumia neno moja mara mbili? Yani unakuta zinaambatana "had had" ... sasa sisi wanyamwezi tukiunganisha unless na otherwise mi naona poa tu.
 
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Una uhakika huwezi kutumia 'unless otherwise' ? Hebu Fanya utafiti kidogo utaona jinsi inavyotumika.
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Sisi wataalam wa Kiswakinge tunakukosoa kama ifuatavyo

Unless = Isipokuwa
Otherwise = vinginevyo

Sasa hebu unganisha hapo utaona watanzania tuko sahihi kabisa kwenye matumizi ya hayo maneno ya malkia
 
Hahaha, mzee hii ni lugha ya nne kwangu, nikibishana bila uhakika nitaangukia makalio.
Dah we jiniaz... mi najua lugha tatu tu. Yani kiswahili ndo namba moja. Kikwetu na kimalkia nafanya kuungaunga tu yani... dah

Afu pamoja nakuwa mahiri wa kulonga kiswahili bado O level nikalamba C ya Kiswahili. Yaani NECTA wananiaminisha hata Kiswahili chenyewe sikijui kiviiiiile... yani wanataka kuniambia nilipaswa kuwa bubu...
 
Unless hutumika katika conditional sentence- kuonya/kuonywa mfano mwanafunz ulikua unazurura sasa akaona mwalm darasani ameingia na yeye hakua na interest.
Sentence inayoweza kutumika hapo ni hii.
Don't come to class unless you are willing to listen.

Sasa otherwise hutumika kama alternative.Tuseme mwanafunz ameingia darasani na akapiga kelele au kusumbua mwalm anaweza mwambia.

Pay attention otherwise i will kick you out of class..

mfano mwlm akataka kusema.

Kaa kwa kutulia la sivyo nitakutoa nje?

Hivi unless otherwise haziwez kutumika kwa pamoja hapo?

Mfano upo Uhamiaji ukamwambia Muingereza
Your visa will last for two months unless otherwise stated.

Kilikuja na mail don't complicate
Tuwe na Kizungu chetu wazungu nao wabaki na cha kwao.😁😁
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.

otherwise
/ˈʌðəwʌɪz/
adverb
  1. 1.
    in circumstances different from those present or considered; or else.
    "the collection is a good draw that brings visitors who might not come otherwise"

    Similar:
    or else
    or

    if not

  2. 2.
    in other respects; apart from that.
    "an otherwise totally black cat with a single white whisker"

  3. unless
    /ʌnˈlɛs/
    Learn to pronounce

    conjunction
    1. except if (used to introduce the case in which a statement being made is not true or valid).
      "unless you have a photographic memory, repetition is vital"

  4. Similar:
    in other respects

    in other ways

    apart from that

adjective
  1. in a different state or situation.
 
Back
Top Bottom