Inabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja
Vilugha vya ki-English vipo kwa level, tofauti tofauti Duniani kote vya aina saba vinavyo tambulika kimataifa na vyote vina sub branches... Mfano
Uk na N/ USA,na S/USA( hii ni nchi) moja lkn wako tofauti kima tamshi na grammatically wako tofauti.
Caribean english ndo kabisaa utakaa chini.
mfano neno... "I en' I" mama wee !! mbongo wa kawaida kamwe hata jua hii. Nakupa mfano wa hapo kwenu Africa
Mkenya mswahili.
Mtanzania
Uganda.
M-congo.
Northen malawi nk.
Hawa wanaongea kiswahili kabisaaa!! Lkn tofauti. kwa wa Tanzani anaona hawajui. kumbe yeye ndo hajui.
Km haitoshi.... Mzaramo.Muhaya, mpogolo na Msukumank ni nchi moja walimu walewale!! wanaongea kiswahili kile kile lkn Msukuma hamuelewi kirahisi mzaramo.
Jaluo tena wa kule shirati ikiongea kiswahili utacheka mpaka ujambe...kurya mfano kulala/ kurara, tupa-tabhuta!!
sijui mmasai weee!! ...
Mmakonde anatamka ntonto badala ya mtoto!! " eg"Ntoto wa Nkuu wa Nkoa amepata achali" but anaeleweka ivo ivo kwa Lugha zote Duniani ziko hivo!!
Kiingereza ulo jifunza cha south ni tofauti kabisa na cha Nigeria, Australia. G/Britain. na N/Ireland nchi moja hii. na Usa.nk
Wa bongo wengi wanajua ki english cha Great Britain baaasi!! Be flexible ! twist your mind deep!!
Mwlm wako wa Lugha alipaswa akupe hii hint. Kabla huja graduate Sasa sijui alisahau au hukuwepo drsn siku hizo???.