hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii unayoiongelea mkuu ni dialect ambayo ni vionjo vya matamshi ambavyo viko influenced na origin ya mtu lakini hili la unless otherwise in the wrong context ni tatizo la kutojua lugha tu mkuu, simply as that.Vilugha vya ki-English vipo kwa level, tofauti tofauti Duniani kote vya aina saba vinavyo tambulika kimataifa na vyote vina sub branches... Mfano
Uk na N/ USA,na S/USA( hii ni nchi) moja lkn wako tofauti kima tamshi na grammatically wako tofauti.
Caribean english ndo kabisaa utakaa chini.
mfano neno... "I en' I" mama wee !! mbongo wa kawaida kamwe hata jua hii. Nakupa mfano wa hapo kwenu Africa
Mkenya mswahili.
Mtanzania
Uganda.
M-congo.
Northen malawi nk.
Hawa wanaongea kiswahili kabisaaa!! Lkn tofauti. kwa wa Tanzani anaona hawajui. kumbe yeye ndo hajui.
Km haitoshi.... Mzaramo.Muhaya, mpogolo na Msukumank ni nchi moja walimu walewale!! wanaongea kiswahili kile kile lkn Msukuma hamuelewi kirahisi mzaramo.
Jaluo tena wa kule shirati ikiongea kiswahili utacheka mpaka ujambe...kurya mfano kulala/ kurara, tupa-tabhuta!!
sijui mmasai weee!! ...
Mmakonde anatamka ntonto badala ya mtoto!! " eg"Ntoto wa Nkuu wa Nkoa amepata achali" but anaeleweka ivo ivo kwa Lugha zote Duniani ziko hivo!!
Kiingereza ulo jifunza cha south ni tofauti kabisa na cha Nigeria, Australia. G/Britain. na N/Ireland nchi moja hii. na Usa.nk
Wa bongo wengi wanajua ki english cha Great Britain baaasi!! Be flexible ! twist your mind deep!!
Mwlm wako wa Lugha alipaswa akupe hii hint. Kabla huja graduate Sasa sijui alisahau au hukuwepo drsn siku hizo???.
Wewe unakionaje hiki kiingereza?Ngoja waje uwape muongozo...
Ni Salim kama Salim na wala siyo wengine... usilazimishe tufananeSiyo kweli. Salim Ahmed Salim alikuwa na umahiri na ufahamu wa ufasaha katika lugha zaidi ya 5 za kimataifa lkn hajawahi sikika akichanganya Lugha anapozungumza.
Hakuna unachokinua, wewe ni uzao uleule wa wazungumzaji wabovu wa Lugha. Asante..siwezi kuendelea kulumbana na wewe. Nyie ndio badala ya "alikwenda" mnasema "alikwendaga" na mnadhani ni sahihi kuongeza "ga" "ge" na "gi" ni sahihi.Ni Salim kama Salim na wala siyo wengine... usilazimishe tufanane
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, kwa nini tunalazimisha lugha za watu wengine?... This is like nation crisis.
Mkuu una uhakika ?Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Otherwise = vinginevyoKwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Wewe bhana. Unataka niseme 'a national crisis" kajifunze lugha kwa wenye lugha yao. Acha kukariri wewe mzee.Duh, kwa nini tunalazimisha lugha za watu wengine?
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Unakuta mtu anakuambia "Ok sawa" haileti maana yanHivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
No!! Km amefika level hiyo ya kutamka hivo!! anajua ila grammatically incorrect kulingana level ya uelewa wa Msiklizaji.Hii unayoiongelea mkuu ni dialect ambayo ni vionjo vya matamshi ambavyo viko influenced na origin ya mtu lakini hili la unless otherwise in the wrong context ni tatizo la kutojua lugha tu mkuu, simply as that.
je akikwambia ....Unakuta mtu anakuambia "Ok sawa" haileti maana yan
Mkuu kusema ukweli hata sijakulewa kabisa. Anyaway kuhusu statements zako hizo mbili: ya kwanza ipo sahihi ila ya pili haiko sahihi, (I stand to be corrected). Ya tatu ndio pana tatizo zaidi.Mkuu una uhakika ?
You may not Kill the Dog Unless it bites you ?
You may not Kill the Dog Otherwise it bites you ?
Unaona ni semantically correct kuliko
You may not Kill the Dog unless otherwise it bites you.
Kipi kinaondoa utata ?, Sio Bongo tu, the worldwide haya maneno yanatumika kwenye everyday conversation....
Unakataa nini unakubali nini? Kabadili ulichoandika kwenye mada mwanzoni. Hiki hapa chini ndio ulichoandika. Umesisitiza nani katufundisha kutumia maneno haya kwa wakati mmoja?Sijasema ni grammatically incorect ninachosema kwa wabongo haya maneno wanayatumia kwa pamoja unnecessarily. Kuna sehemu kweli yanaweza kwenda kwa pamoja kama mdau mmoja alivyotolea mfano hapo juu ila hata wewe ni shahidi kama hii lugha unaijua vizuri wabongo huwa hawayatumii katika statement yenye kuleta maana pale yanapohitajika kutumika kwa kufuatana. Jaribu kuwasililiza kwa makini utanielewa.
Sawa mkuu. Sipo hapa kubishana. Wa kunielewa keshanielewa, wakutokunielewa hatanielewa.Unakataa nini unakubali nini? Kabadili ulichoandika kwenye mada mwanzoni. Hiki hapa chini ndio ulichoandika. Umesisitiza nani katufundisha kutumia maneno haya kwa wakati mmoja?
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Hamna wa kubishana na wewe. Ni wazi hayo maneno mawili yanaweza kutumika pamoja kama ambavyo unaona wadau wengi wamekuonesha ni vizuri ukiteleza ukubali tu na sio kuanza kubadilikabadilika, next time kuwa makini kabla ya kujaribu kuwaona Watz wengi hawaelewi vitu rahisi.Sawa mkuu. Sipo hapa kubishana. Wa kunielewa keshanielewa, wakutokunielewa hatanielewa.
Mkuu hebu kwanza toa negativity uliyonayo kichwani halafu ubongo wako uuruhusu kujifunza "otherwise" utaendelea kutokunielewa.Hamna wa kubishana na wewe. Ni wazi hayo maneno mawili yanaweza kutumika pamoja kama ambavyo unaona wadau wengi wamekuonesha ni vizuri ukiteleza ukubali tu na sio kuanza kubadilikabadilika, next time kuwa makini kabla ya kujaribu kuwaona Watz wengi hawaelewi vitu rahisi.