Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

sawa nimekuelewa
Vipi hapo👆👆ni sawa kusema ivo au si sawa?
Inabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja
 
Mkuu kusema ukweli hata sijakulewa kabisa. Anyaway kuhusu statements zako hizo mbili: ya kwanza ipo sahihi ila ya pili haiko sahihi, (I stand to be corrected). Ya tatu ndio pana tatizo zaidi.
Haya maneno japo ni synonyms ila kuna sehemu hayawezi kutumika interchangeably mfano mzuri ni hiyo statement yako ya pili.
Mtu akiwambia Unless Otherwise ni kuondoa utata yaani unafanya / usifanye hiki ; ikiwa tu kile kimefanyika.... ; Unless peke yake haiweki huo msisitizo...

Yaani You may not kill the dog Unless Otherwise it bites you..., inaweka instruction clear kwamba you should never kill a dog labda kama tu akikuuma; unless pekee inaweza kuwa akikuuma au hata akibweka pia unaweza kumuua.... Semantically it makes the instruction loud and clear.
 
Mtu akiwambia Unless Otherwise ni kuondoa utata yaani unafanya / usanye hiki ; ikiwa tu kile kimefanyika.... ; Unless peke yake haiweki huo msisitizo...

Yaani You may not kill the dog Unless Otherwise it bites you..., inaweka instruction clear kwamba you should never kill a dog labda kama tu akikuuma; unless pekee inaweza kuwa akikuuma au hata akibweka pia unaweza kumuua.... Semantically it makes the instruction loud and clear.
Sawa boss basi kila mtu aendelee kuamini kile anachokiamini kipo sahihi.
 
Kwa hiyo hata wewe mkuu unaona matumizi ya haya maneno ni sahihi kutamkwa kwa kufuatana? Ushawahi kuwasikia wabongo wanavyoyapachika kwenye statements zao? Ni sawa na kusema "JAPOKUWA INGAWA Mariam alikuwa ana umri mdogo lakini aliajiriwa"
The word "stated" justifies the use of "unless otherwise".

Do you know your parts of speech?

Mtu akisema "I will stay here, unless otherwise directed" that makes perfect sense. That means "I will stay here, but if I am directed otherwise, I will not stay here."

So, kuna sehemu kusema "unless otherwise..." kuna make sense.

Soma hapa.

Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Have Had pia zinaweza tumika pamoja..... You can post anything on this thread Unless Otherwise stated.
 
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Kuna jamaa anapenda sana kutumia neno "way forward" mara kwa mara sijui huwa anamaanisha nini.
 
Inabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja
Vipi kuhusu HAD HAD kutumika pamoja?
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Sio kweli kwa tafsiri hiyo, ume generalise..
"Unless" neno hili mzizi wake ni Less ambayo tafsiri yake ni Kiduchu, au kiasi au kidogo au Kwa uchache, au pungufu hivyo unapoweka Un-less maana yake ni kinyume chake.
Otherwise kuna maneno mawili Other yenye maana ya Nyingine, au ingine au m badala na neno "wise" ni hekima, akili, busara
Hivyo otherwise tunaweza kusema "njia mbadala au hekima nyingine, au njia nyingine au akili nyingine.
Mtu anaposema unless otherwise huwa kuna makosa ya ki gramatic
 
The word "stated" justifies the use of "unless otherwise".

Do you know your parts of speech?

Mtu akisema "I will stay here, unless otherwise directed" that makes perfect sense. That means "I will stay here, but if I am directed otherwise, I will not stay here."

So, kuna sehemu kusema "unless otherwise..." kuna make sense.

Soma hapa.

Sasa njoo uwasikilize wabongo utachoka mwenyewe. Kila sehemu yenye kuhitaji kutumia "unless" pekee lazima wasema "unless otherwise".
 
Faza wala usiumize kichwa, Lugha yenyewe ilikuja kwa Majahazi. Tujivunie Kisukuma chetu, Kimatumbi, Kindengereko, Kigogo nk
 
Faza wala usiumize kichwa, Lugha yenyewe ilikuja kwa Majahazi. Tujivunie Kisukuma chetu, Kimatumbi, Kindengereko, Kigogo nk
Sawa mkuu. Acha tuendelee kutumia broken ya taifa.
 
Back
Top Bottom