plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,434
Hapo ni kujitesa tu akisema tu "sawa waungwana nitafania kazi" ndo kiswahili sahihi, hiyo sawasawa hapo inatuleta kwenye hii alama "="je akikwambia ....
"sawasawa waungwana nitafanya kazi!!" je hailet maana??
Fikiria Anaongea na nani kwanza mswahili Au mwingereza asiyejua??
Ok!! na neno sawa ni sawa kwa kiswahili tu! Km unaongea na mswahili mbona wagumu kuelewa nyie watu??
Sasa chukulia niseme "= waungwana nitafanyia kazi" unaona inakuja kweli?
Hilo neno "sawasawa" halitakiwi kutumika kwenye sentensi kama hiyo.