Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh! Kinogesho[emoji1787]Kwanza yanavutia sana yakitumiwa pamoja.
Hiyo heading iko very clear nini umemaanisha, na hata ndani ya uzi hujasema kama unazungumzia katika mifano hiyo tu, bali umetolea kama moja ya mifano...! Sasa omba mods wabadilishe heading, ongeza , ‘katika sentensi hizi?’Sasa wabongo ndio wanaitumia katika mifano niliyotoa. ...by the way mbona wewe ndio unaonekana kenge hapa maana nimekutolea hadi mifano in what context wabongo wanaboronga lakini bado huelewi.
hujakuatan na watu wanavyotamka "Issue" "inshu" sijui wapi wameitoa hiyo herufi "n"Sawa mkuu nadhani kwa mbali umenielewa. Hili ni tatizo la watanzania wengi mno hivyo sikuona sababu ya kuelezea in details nikiamini kwamba kila mtu anayeishi Tanzania na anayejua kiingereza analijua. Na kwa nyongeza tu huwa unawasikia watanzania wanavyotamka maneno haya "schedule na assume?" Schedule wanaitamka "shejo au shedo" assume wanaitamka "ashumu" hii inaonyesha ni jinsi gani huko shuleni wanafundishwa maana haiwezi kutokea kwa bahati mbaya tu kila mtu akawa anaongea kiingereza cha hivi.
Nadhani shida imeanzia hapa...tafsiri yako ya kiswahili kwa neno otherwise siyo sahihi...binafsi sioni shida na sidhani Kama Kuna makosa haya maneno kutumika pamojaKwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Utasikia halafu then akaja homeInabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja
Jf is never boring.....in The Boss voice.Yapo bwana..mfano:
Mdogo Mdogo,Pikipiki ,barabara,pole pole
Mfano Mr Blue alisema 'Tunatafuta Pesa Pesa Pesa,Tutazipata Pesa Pesa Pesa pesa'
Mifano mingine ya sentensi
1.Juma Ni Rafiki mwandani wangu
2.kila ijumaa Kuna Soko la gulio pale mwenge
3.Nia Na dhamira ya Huu mkutano Ni kudumisha upendo
4.Maskini! kumbe Juma Ni fukara?
5.Yule pale sio mwenyekiti ila ni naibu makamu mwenyekiti
6.Dhamira Na kusudi la kuja hapa Ni ili nikutongoze
Naelewa point ya lugha ni kuelewana, lakini kama unaharibu bila kujali na ku assume nitakuelewa tu, utajuaje nitakuelewa?Na ndiyo point ya lugha. Kuwa tuelewane. Ukishanielewa sababu kuu ya kutumika hiyo lugha inakuwa imetimia.
Upo sahihi kabisa, ushuzi utapita na safari mtafika tu yaani.Naelewa point ya lugha ni kuelewana, lakini kama unaharibu bila kujali na ku assume nitakuelewa tu, utajuaje nitakuelewa?
This is an arrogant ignorance. Mtu anakujambia halafu ukimuambia umejamba unasema ushuzi utapita tu hauwezi kuua mtu.
Mtu kakukanyaga kwenye daladala, ukimwambia hapa umenikanyaga, anakwambia si tutafika tu, lengo la kupanda daladala ni kufika safari.
Mwachie aliyejambiwa aseme ushuzi utapita tu.
Mwachie uliyemkanyaga aseme atafika tu.
Mwachie uliyemuharibia lugha aseme amekuelewa tu.
This ignorant arrogance is normalizing verbal diarrhea.
Hujaelewa nilichoandika.Upo sahihi kabisa, ushuzi utapita na safari mtafika tu yaani.
Nimekuelewa sana tu. Sema sijakubishia.Hujaelewa nilichoandika.
[emoji23][emoji23][emoji119]Unaboeka Nini Sasa?Unless otherwise wewe Ni uncle Tom
Trust me ingekuwa Hivi,,mpaka Leo tungekuwa tunaongea Old English au classic arabicNaelewa point ya lugha ni kuelewana, lakini kama unaharibu bila kujali na ku assume nitakuelewa tu, utajuaje nitakuelewa?
This is an arrogant ignorance. Mtu anakujambia halafu ukimuambia umejamba unasema ushuzi utapita tu hauwezi kuua mtu.
Mtu kakukanyaga kwenye daladala, ukimwambia hapa umenikanyaga, anakwambia si tutafika tu, lengo la kupanda daladala ni kufika safari.
Mwachie aliyejambiwa aseme ushuzi utapita tu.
Mwachie uliyemkanyaga aseme atafika tu.
Mwachie uliyemuharibia lugha aseme amekuelewa tu.
This ignorant arrogance is normalizing verbal diarrhea.
Nimekuta thread imefika page 11. Sikuwa na muda wa kusoma comment zote hivyo pengine kuna mdau ameshaelezea. Ni hivi: Kutumia maneno Unless otherwise kwa pamoja siyo kosa kutegemea na ulivyoyatumia. Hii sentence ni correct: The guy is in trouble unless otherwise. Hapa umesema kuwa jamaa yuko kwenye shida kubwa na atanusurika iwapo kitu/hali nyingine (ambacho hatuijui) itatokea. Neno otherwise limetuka kuwakilisha kitu/hali yoyote itayomwokoa huyo jamaa aliye kwenye shida.Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
For instance:
“Give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”
“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”
“Unless you bring my laptop I will not give you back your book”
“Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”
Nimeona nipandishe hii mifano ili nieleweke zaidi maana kuna watu humu wanatetea vitu viko wazi kabisa.
Tatizo umejiridhisha kwamba umenielewa hata kabla ya kuniuliza hujanielewa wapi ili ujiridhishe zaidi.Nimekuelewa sana tu. Sema sijakubishia.
Kuna lugha zina formal custodians na nyingine hazina.Trust me ingekuwa Hivi,,mpaka Leo tungekuwa tunaongea Old English au classic arabic
Sijakuelewa kabisaKuna lugha zina formal custodians na nyingine hazina.
Kiingereza hakina. Kiarabu hakina.
Kifaransa kina. Kiswahili kina.
Kuna lugha zinaongozwa na mabaraza rasmi ya kupitisha maneno. Mfano ni Kifaransa (Academie Francaise) na Kiswahili (BAKITA).Sijakuelewa kabisa
Hili ndilo tatizo la kukariri kila kitu toka kwenye Biblia, Qur'an na vitabu vya shule bila hata kufikiri.Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
For instance:
“Give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”
“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”
“Unless you bring my laptop I will not give you back your book”
“Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”
Nimeona nipandishe hii mifano ili nieleweke zaidi maana kuna watu humu wanatetea vitu viko wazi kabisa.