MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mbunge mmoja kule Ulaya alihoji vigezo vilivyotumika kuwapa Watanzania msaada wa hela dhidi ya Corona ilhali wao Watanzania walishasema walipona Corona kwa kupitia maombi ya siku tatu.
Dah! Naona Watanzania wamejibu kwa hasira, povu zinawatoka, mishipa imevimba. Hehehehe!
Hapa hii video waziri wao anafyatuka namna walipigana sijui wapi huko, namna majeshi yao hayajawahi kushindwa mara walivyoikomboa Afrika. Mara climate change mara Nyerere sijui alifanya nini yaani anaparamia kila kitu hata sijamuelewa hoja yake haswa ni nini.
Labda ni washauri Watanzania, baada ya mbwembwe zote hizo muandae daftari litakalochanganua namna mlivyotumia hela ya mbeberu, maana bado mtamzungushia kibakuli cha misaada, mnamtegemea, yeye hasklizi hizi blah blah za sijui mlipigana Comoro, Kagera sijui wapi huko.