Ona wanavojibu hoja yako
MK254, mwendo ni wa kupanick tu na kukurupuka. Alafu ndio taswira ilivyo, kutoka chini kwa raia hadi juu kwa viongozi. Majirani wamefeli kabisa kidiplomasia na kiushawishi, hawana idea. Mtizame na umskize huyo waziri wao wa kukodoa kodoa mimacho na kufanya 'irrigation' akiongea. Kisha jaribu kumfananisha na waziri mwenzake nchini Kenya Monica Juma au hata aliyemtangulia, Amina Mohammed. Tz kweli ni kichwa cha mwendawazimu.
😀 Nakumbuka mwaka wa 2013 Uhuruto walipogombea urais wakiwa wamefunguliwa mashtaka ICC kule Hague. Hao hao EU kabla ya uchaguzi waliwaeleza wazi wakenya kwamba "choices have consequences". Ila wakajibiwa wazi na confidence kwamba masuala ya ndani ya taifa la Kenya hayawahusu. Uhuruto wakashinda na hizo consequences hatujaziona hadi leo hii.