eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Mkijua hilo mbona misifa misifa za sadc wakati nyinyi hata hamjui ilianzishwaje! Mnasahau nyinyi ni waalikwa tu?!
Kama hamjui historia nyie watoto, bora mkae kimya.
Nani ni mualikwa wa SADC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkijua hilo mbona misifa misifa za sadc wakati nyinyi hata hamjui ilianzishwaje! Mnasahau nyinyi ni waalikwa tu?!
Tanganyika 😂Kama hamjui historia nyie watoto, bora mkae kimya.
Nani ni mualikwa wa SADC?
mkuu najua utajifunza jambo jingine kwa mara nyingine kuhusu tz,endelea kuifuatilia pia kwenye hili swala.
tukiwaambia hatutishwi hamuelewi.
Mkuu kwani wewe ni kabudi? Okay tuachane na hayo, hizo pesa ziko wapi/zilitumikaje ilihali mlifanya maombi kwa siku tatu na corona mkaikoromea huko?Wewe unataka kumuelewa waziri kama nani? Ujumbe sio wako wala wewe sio European sasa kiherehere cha nini?
Likija suala la msaada wa chakula ndio uongee sababu hizo ndio agenda za msingi kuhusu Kenya
So far so good pata hii [emoji116][emoji116]
View attachment 1632261
Inahusiana vp na swali la hela ya corona?Tanzania ni nchi ya 28 duniani kwa matumizi mazuri ya kodi.
Shame on you
Kila nikifungue taarifa zenu walau nione chochote kizuri nakumbana na mnavyolishwa vibao kuanzia kusini kwenda kaskazini hadi magharibi na mashariki na kati, pembe zote ni kibano, mliingia cha kike kichwa kichwa....
Mkuu acha kuwa Zumbumbukuku, swala la kufunga mipaka nani kasema? Ishu ni kwamba kama wewe ni msafiri unatokea Tz ukifika uwanja wa ndege au mpaka wowote ule wa Zimbabwe lazima wakupime Covid-19. Hope sasa umeelewa, Watz Mataga mnakwama wapi kwenye lugha nyepesi kama hiyo?Wacha tuone kama watafunga border na Zimbabwe kama walivyofanyia Kenya. Border hio wataitafuta waikose.
Kunywa maji mkuu, wewe ni kilaza wa hali ya juuMnamchukia Prof Nabudi kwa sababu Uhuru Kenyatta alimuomba kuja kuwapa lecture juu ya BBI na ukabila wenu au sio, si unakumbuka siku ile aliongea bila kupepesa macho ndani ya bunge lenu, sasa unategemea ndio ashindwe kuwajibu hao vilaza wachache wa bunge ka EU.
Punguzeni kuogopa ngozi nyeupe enyi waKenya.
Uyo na yule nurse teargass ndo wakenya wapumbavu zaidi humu wakifuatiwa na dada lao miss kibera.unakuwaga na umbuzi sana mkuu.
Sijashangaa cz ni mkenya huyo ujinga wameumbiwa.Kama hamjui historia nyie watoto, bora mkae kimya.
Nani ni mualikwa wa SADC?
Usiwahusishe Watanzania na kauli za kipumbavu. Hizo ni kauli za kiCCM siyo za Kitanzania.Mbunge mmoja kule Ulaya alihoji vigezo vilivyotumika kuwapa Watanzania msaada wa hela dhidi ya Corona ilhali wao Watanzania walishasema walipona Corona kwa kupitia maombi ya siku tatu.
Dah! Naona Watanzania wamejibu kwa hasira, povu zinawatoka, mishipa imevimba. Hehehehe!
Hapa hii video waziri wao anafyatuka namna walipigana sijui wapi huko, namna majeshi yao hayajawahi kushindwa mara walivyoikomboa Afrika. Mara climate change mara Nyerere sijui alifanya nini yaani anaparamia kila kitu hata sijamuelewa hoja yake haswa ni nini.
Labda ni washauri Watanzania, baada ya mbwembwe zote hizo muandae daftari litakalochanganua namna mlivyotumia hela ya mbeberu, maana bado mtamzungushia kibakuli cha misaada, mnamtegemea, yeye hasklizi hizi blah blah za sijui mlipigana Comoro, Kagera sijui wapi huko.
View attachment 1632559
hiyo ndio ikukumbushe ni jinai gani sisi ni imara.
mngekuwa kenya saa hizi,mngekuwa mmejifungia ndani.
Nawahurumia maana nyie tayari maskini wa kutupwa halafu mnazongwa na yote haya.......ukizingatia mamilioni ya wafuasi wa upinzani mliowakera kwa kusindika kura zao, poleni lakini.
masikini wa kutupwa ni wakenya.
wanaokufa njaa kule turkana,au hujui maana ya umasikini??
Halafu nimeona kunao wamefungua kesi zaidi ukizingatia ndege zenu mumezificha zinapiga ruti za daladala maana kule nje zinasakwa, ila umaskini ni laana.
Hebu nioneshe ushahidi kwmb tz ni maskini ili niache kuwepo humu jf, hv unadhani mjanja km Magu au mm naweza kuishi nchi maskini? Au unadhani mjanja km mm mwenye IQ kubwa hv naweza kupatikana failed state km Kenya?Nawahurumia maana nyie tayari maskini wa kutupwa halafu mnazongwa na yote haya.......ukizingatia mamilioni ya wafuasi wa upinzani mliowakera kwa kusindika kura zao, poleni lakini.
umasikini ni laana ndio,ndio maana mpaka magonjwa dhaifu kama corona yanawabaka hovyo hovyo,sababu nyinyi ni masikini.