Mihemko yote hii ya nini?Unafikiri kuandika kwa mihemko na kwa mikwara kibao ndiyo itakupa ushindi katika hoja?Unajua kusoma kwa uelewa?Unaelewa kuwa unapozungumzia masuala ya umiliki wa ardhi maana yake unazungumzia masuala ya uwezo katika mitaji,ujuzi,vifaa,e.t.c?
Ni mwafrika gani ambae alikuwa na mitaji,ujuzi,vifaa,e t.c kisha akanyimwa ardhi na ardhi hiyo akapewa mzungu?Halafu naona umehamisha mada kutoka katika masuala ya wazungu kumiliki ardhi mpaka kwenye masuala ya jamii fulani za kiafrika kumiliki ardhi peke yao!Hiyo ndiyo ilikuwa mada yetu?Umeanza kujifunza kuraka kimanga lini