Hujajibu hoja yangu.Ulichofanya ni kuropoka tu kuonyesha ujinga wako.Jibu hoja yangu.
Nioneshe mkenya anayemiliki mashamba kwenye ardhi ya malkia.
Sasa kama serekali ilitangaza kuwa wajitokeze watu wenye sifa hizi na zile ili wamiliki ardhi lakini hakuna mwafrika aliejitokeza badala yake wakajitokeza wazungu kwa wingi ambao wamekidhi vigezo na wakapewa ardhi hizo,kuna shida gani hapo?Nioneshe mkenya anayemiliki mashamba kwenye ardhi ya malkia.
Baada ya uhuru mabeberu walinyangβanywa ardhi wakapewa wazalendo walime kwa jembe la mkono chini ya mwamvuli wa ujamaa. Hatukujua thamani ya ardhi mpaka gabacholi alipoenda kuichukulia mkopo benki Ulaya.Kwani mzungu kumiliki ardhi kuna ubaya gani?Hawapaswi kumiliki ardhi kwa sababu tu ya rangi yao?
Katika hizo namna tatu za kujibu hoja mbona hujaweka mambo ya kuropoka?Unaelewa kuwa uliropoka?kuna namna tatu ya kujibu swali au hoja.
swali kwa jibu,swali kwa swali,na swali kwa mfano.
vilaza wote duniani huwa wanapenda majibu ya moja kwa moja.
Taifa linahitaji economic growth kupitia kilimo halafu serekali ikatangaza kuwa watu wenye sifa fulani kama vile labda mitaji,ujuzi na nyinginezo wajitokeze ili wamiliki ardhi halafu waafrika wakakosa hizo sifa na wazungu wakakidhi hivo vigezo na wakajitokeza kwa wingi na kumiliki ardhi,sasa hapo kuna ubaya gani au wa kulaumiwa ni nani?Baada ya uhuru mabeberu walinyangβanywa ardhi wakapewa wazalendo walime kwa jembe la mkono chini ya mwamvuli wa ujamaa. Hatukujua thamani ya ardhi mpaka gabacholi alipoenda kuichukulia mkopo benki Ulaya.
Wakati wazungu wanamiliki ardhi Zimbabwe, nchi ilikua inazalisha mahindi ya kutosha kulisha Afrika nzima. Industrial farming inahitaji investment si kwa matrekta tu bali elimu, na vifaa mbali mbali.Taifa linahitaji economic growth kupitia kilimo halafu serekali ikatangaza kuwa watu wenye sifa fulani kama vile mitaji na ujuzi wajitokeze ili wamiliki ardhi halafu waafrika wakakosa hizo sifa na wazungu wakakidhi hivo vigezo wakajitokeza kwa wingi na kumiliki ardhi,sasa hapo kuna ubaya gani au wa kulaumiwa ni nani?
Sasa hawa vijana hapa Tanzania(MATAGA) wanataka waafrika ambao hawana sifa wamilikishwe ardhi kwa wingi halafu wakalie ardhi hizo bila ya kuziendeleza wakati nchi inahitaji maendeleo kupitia sector ya kilimo.Hii ndiyo wao huwa wanaita ni uzalendo!Wakati wazungu wanamiliki ardhi Zimbabwe, nchi ilikua inazalisha mahindi ya kutosha kulisha Afrika nzima. Industrial farming inahitaji investment si kwa matrekta tu bali elimu, na vifaa mbali mbali.
Tunahitaji ajira kwa vijana, uhakika wa chakula, watu walipe kodi.Sasa hawa vijana hapa Tanzania(MATAGA) wanataka waafrika ambao hawana sifa wamilikishwe ardhi kwa wingi halafu wakalie ardhi hizo bila ya kuziendeleza wakati nchi inahitaji maendeleo kupitia sector ya kilimo.Hii ndiyo wao huwa wanaita ni uzalendo!
Na mawazo ya vijana hawa ndiyo mawazo ya CCM ambayo bado inazidi kung'ang'ania kuongoza nchi wakati imeishiwa sera za maanaTunahitaji ajira kwa vijana, uhakika wa chakula, watu walipe kodi.
Sasa kama serekali ilitangaza kuwa wajitokeze watu wenye sifa hizi na zile ili wamiliki ardhi lakini hakuna mwafrika aliejitokeza badala yake wakajitokeza wazungu kwa wingi ambao wamekidhi vigezo na wakapewa ardhi hizo,kuna shida gani hapo?
Mihemko yote hii ya nini?Unafikiri kuandika kwa mihemko na kwa mikwara kibao ndiyo itakupa ushindi katika hoja?Unajua kusoma kwa uelewa?Unaelewa kuwa unapozungumzia masuala ya umiliki wa ardhi maana yake unazungumzia masuala ya uwezo katika mitaji,ujuzi,vifaa,e.t.c?Bwana mdogo kaa chini hujui unachoongea.
Wewe unaweza kuniambia lini, wapi na jinsi gani Kenya ilitangaza watu waende kununua ardhi. Wewe hujawahi sikia, wakenya wanalia kwa kitu ambacho wanakiita historical Injustice!!? Wachache, jamii fulani hivi wanamiliki ardhi kubwa, huku wengi wakiwa hawana kitu.
Bwana mdogo, I insist, siku nyingine usianze kujadili vitu ambavyo viko nje ya uelewa wako. Ukome kuanzia sasa.
Is Zimbabwe a member of SADC? Or did they withdraw membership? π πHalafu naona Zimbabwe imewapiga pini Watanzania, yaani Wabongo mumefikia wa kudharauliwa hadi na hao....
Mihemko yote hii ya nini?Unafikiri kuandika kwa mihemko na kwa mikwara kibao ndiyo itakupa ushindi katika hoja?Unajua kusoma kwa uelewa?Unaelewa kuwa unapozungumzia masuala ya umiliki wa ardhi maana yake unazungumzia masuala ya uwezo katika mitaji,ujuzi,vifaa,e.t.c?
Ni mwafrika gani ambae alikuwa na mitaji,ujuzi,vifaa,e t.c kisha akanyimwa ardhi na ardhi hiyo akapewa mzungu?Halafu naona umehamisha mada kutoka katika masuala ya wazungu kumiliki ardhi mpaka kwenye masuala ya jamii fulani za kiafrika kumiliki ardhi peke yao!Hiyo ndiyo ilikuwa mada yetu?Umeanza kujifunza kuraka kimanga lini
Is Zimbabwe a member of SADC? Or did they withdraw membership? π π
Nasikia Tanganyika wanaheshimiwa sana kule SADC. Kunani? π π π
Mkijua hilo mbona misifa misifa za sadc wakati nyinyi hata hamjui ilianzishwaje! Mnasahau nyinyi ni waalikwa tu?!They have the right to do that, because Zimbabwe is a sovereign state. They can even refrain us from entering into their country.
Mkijua hilo mbona misifa misifa za sadc wakati nyinyi hata hamjui ilianzishwaje! Mnasahau nyinyi ni waalikwa tu?!
Is Zimbabwe a member of SADC? Or did they withdraw membership? π π
Nasikia Tanganyika wanaheshimiwa sana kule SADC. Kunani? π π π
Kwa vile mimi ni mbuzi, nimejitolea kwa serikali yenu wanipime corona πunakuwaga na umbuzi sana mkuu.
Kila wakizubaa wanaibukiwa na hiki, hawa nahisi wana gubu check hii hapa imewaibukia nyingine, waliingia cha kike hawa https://www.jamiiforums.com/threads...related-to-mining-retention-licenses.1812757/