Halafu ongeza vyuma vilivyokaza kwenye huo umaskini unaowatesa, na sasa ndio mtakoma kwa kukosa upinzani, kidogo walikua wanapunguza makali ya utafunwaji kwa kupiga makelele, unakumbuka kama kile kipindi mlitafunwa trilioni 1.5.
unaelewa maana ya vyuma kukaza bro!!!
nipe indicator moja ya vyuma kukaza tz,ntakupa indicator 3 za vyuma kukaza kenya.
Halafu naona mabombadier yalishabuma https://www.jamiiforums.com/threads...ys-na-ethipia-airways-kwenda-nigeria.1813072/
endelea kuona,siku ukijua ndege huwa zinaharibika pia ila sio kama matoroli ya KQ yaliyofia hapa jknia mwezi mzima limepark,utaacha ujinga.
Hehehe wewe jamaa king'ang'anizi sana, una moyo kwa namna huwa naona ukipambana kwenye nyuzi zenu zile za siasa, hamna hoja usiyopambana kutetea madudu ya CCM mpaka siku inaisha kila siku, kama kweli haulipwi na akina Polepole basi utakua mwanachama damu, muhimu sana upate uteuzi wowote unawazidi hata akina Pascal Mayalla kwa mbali.
kumbe unanifatilia sana.
uteuzi ni jambo moja na uhitaji wa mtu nao ni jambo jingine.
Sikufuatilii wewe binafsi, huwa nikipitia majukwaa yenu ya siasa, kila nikisoma hoja zozote tata za kisiasa nakuta umetiririka humo unahemeshana na wadau siku inaisha, wewe na kuna mwingine huwa naona anajiita jingalao na wengine wachache full balaa wapambanaji wa CCM, halafu ukigeuza nakuta unapumuliana na Wakenya huku.
Hehehe hongera sana, ila kama unalipwa basi pia hongera maana ni ajira pia.
ukitaja majina expert jukwaa la siasa sikai hata top 1000,iwe kwa kutoa point kali au kwa kuzuga zuga.
ndio sababu nimekwambia unanifatilia.
Hebu ona Nyumbu nyingine hii iliyoenda leo kuapa kwa Ndugai🙂Kunywa maji mkuu, wewe ni kilaza wa hali ya juu
Unakosea kutumia neno "expert", unawezekana ukaonekana sana sana maana unaandika andika tu siku ipite, kila hoja unatupia neno na kubishia humo, hususan kama unalipwa idadi ya majibu unayotupia, utatupia bila kushirikisha ubongo.
Lakini "expert" ni wale anaandika bango moja linaibua mjadala wa "experts" ambao wanajibizana humo ndani kwa hoja zilizosheheni nondo, na yeye muanzisha mada atashiriki ila mara moja moja, sasa hapo utakuta watu wa namna yako mnachomekea chomekea sentensi kadhaa maana lazima muonwe na akina Polepole kwamba mnafanya kazi.
Hivyo ni kweli ikitafutwa "experts", hautamudu kuwepo ndani ya top 1,000 lakini hata hivyo ikitafutwa wapayukaji wanao onekana sana, lazima uchezee kwenye top ukishindana na wenzako hao akina jingalao.
Huyu mama wa Kenya sijui aliolewa Tanzania alafu akaachwa? Maana kila kukicha hanaga kazi ni Tanzania tu,jaribu kuangalia matatizo ya nchi yenu alafu achana na Bongo.Nitshangaa kama ndiye wewe maana huwa namuona kama mtu mwenye kauelewa kidogo, ina maana amejishusha na kuwa kama wewe.