Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Lini na wapi uliweka mkataba/makubaliano na hao wasanii kwamba itikadi yao ya kisiasa iwe yako ? Hadi useme umesalitiwaIvi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Ivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Komaa na maisha yakoIvi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Me nawasemea wale ambao wataendelea kulialia tena kuhusu hao hao CCM; ila km wataridhika na maisha yao sawaKwan ubaya wa wao kuwa ccm ni nini kama baba au mama ako akiwa ccm ndo utamkataa si kila mtu na maoni yake we kama chadema lia lia wa unfollow ww sasa usiwaambie watu wote kwan watu wote wana akili sw na ww
Soma nilichoandika wewe mbwa usikurupuke km kinyago cha mpapule. Nimesema ambao hawafurahishwi na mambo ya CCM na wapo wengi; ila km wanaridhika nazo sawa endeleeni kuwafuataKwahiyo unadhani kila mtu anayo mawazo kama yako? Kweli wewe kenge🚮
Alafu ndio maisha yatakuwa rahisi?Ivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
To make a statement; kwani ukimfollow unapata milioni kila mwezi??? Na ukimfollow figo inafeli???Alafu ndio maisha yatakuwa rahisi?
Sio Kila mtu atatumikia ujinga wakoIvi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Walikualika uwasemee?Me nawasemea wale ambao wataendelea kulialia tena kuhusu hao hao CCM; ila km wataridhika na maisha yao sawa
Haha..Halafu shilole akipata kibwana kipya utatupa wewe hizo updates ?
Huo muda napata wapi wa kufuatilia maisha ya wasanii!! Ya kwangu nitafuatilia sa ngapi?To make a statement; kwani ukimfollow unapata milioni kila mwezi??? Na ukimfollow figo inafeli???