Hivi Watanzania ndio tumeshindwa kuwaunfollow wasanii?

we ni snitch hivi kwa mfano unapata dili CCM utakataa hao wasanii pesa ya kuendesha maisha yao unawapa halafu mnawasema CCM ni madikteta hata nyie madikteta kumchagulia mtu wapi ashabikie
 
Mkuu hapo unakuwa unaingilia uhuru binafsi. Kila mmoja aamue kwa utashi wake maana hatuwezi wote kupenda au kuchukia kitu fulani kwa wakati mmoja. Tofauti zetu ndizo zinazokamilisha ubinadamu wetu
 
Mkuu hapo unakuwa unaingilia uhuru binafsi. Kila mmoja aamue kwa utashi wake maana hatuwezi wote kupenda au kuchukia kitu fulani kwa wakati mmoja. Tofauti zetu ndizo zinazokamilisha ubinadamu wetu
Kuna sehemu nimesema iwe sheria kuwa unfollow na usipowaunfollow basi uwekwe jela??? Tatizo la watu wengi TZ jaman ni ignorant hadi huruma. Nimesema kama haupendezwi na sera za ccm na mambo wanayoyafanya na wasanii wanawapromote so u can unfollow them. Km mnapendezwa nazo sawa endeleeni; wapi nimesema lazima uwaunfollow or else upugwe risasi jamani. Ivi IQ ya TZ sio 30 kweli?😑
 
we ni snitch hivi kwa mfano unapata dili CCM utakataa hao wasanii pesa ya kuendesha maisha yao unawapa halafu mnawasema CCM ni madikteta hata nyie madikteta kumchagulia mtu wapi ashabikie
Wapi nimesema au kulazimisha um unfollow mtu yoyote??? Nimetoa maoni yangu kuwa unfollow hawa watu km hufurahishwi na mambo yao na serikali wanayoisupport
 
Kwa hakika hata wewe ungekuwa na weledi wala usingeanzisha thread ya kipuuzi kama hii.
Yaani uwachagulie watu juu ya wampende nani na wamchukie nani na bado unajinasibu kuwa wewe ni mwerevu na sio miongoni wa hao ignorant unaowataja.
Wake up Mkuu chuki humchoma anayeihifadhi. Na watanzania tunajua haya yanatokea kwakuwa ndiyo mwaka wake kwa haya kutokea na kufanyika mwakani tunarudi kuendelea na story zetu za kila siku za Simba na Yanga.
Ni mpumbavu pekee ndiye anayeweza kuezua paa la nyumba yake kwakuwa ni msimu wa joto, wakati kuna msimu wa mvua uko njiani.
 
Wengi wa ivo wanakuwa na mihemko ss anacho fikiri yy anataka watu wawe ivo ivo hakuna anaewakubali hao jamaa lkn huwez mtu na akili yako timamu uje ufungue uzi eti muanze ku unfollow yaan anawaona watu matahira mtu ka hawatak ana wa unfollow mwenyew sio uje mutandaoni hata kama kuna kundi la watu hawawatak sio uje uwaambie waunfollow
 
Ahsante mkuu
 
Lini na wapi uliweka mkataba/makubaliano na hao wasanii kwamba itikadi yao ya kisiasa iwe yako ? Hadi useme umesalitiwa
Akili kama za mleta uzi ndio zinafanya hata niogope kuwaamini hao vyama pinzani.
Wao mtu akiwa tofauti na wao ni adui, ataombewa kila aina ya baya. Na ndio haohao wanataka demokrasia, sasa kama wao wanashindwa kuheshimu maamuzi ya wengine wakiongoza nchi si wataua ccm wote.
 
Zombie hili beat alipigagwiiii
πŸ˜…πŸ˜…Kua serious ww mondi tumu unfollow afu mabiti makali ya zombie tutayaskia wapi
Mbona mnapenda tuteseke kila sehem
 
Mimi sio Chadema wala wa chama chochote na sijali kuhusu chama zaidi ya haki. Kama mnapendezwa na hao wasanii wenu na ccm endeleeni kuwashobokea na hata mikundu yenu muwape. Mimi sina shida
 
Juhud za kuinua wasanii unapinga
Za kuinua michezo mnapinga
Asa mnataka sector ipi ndio iendelee
Hamuoni mnakua kma machiz sasa
Hao wasanii ni watanzania na wana haki ya kuchagua
Unataka waimbe nyimbo za harakat tuh πŸ˜†
 
Kuwashawishi nini labda when kila kitu kinaonekana. Sikiliza we ****** cjakulazimisha umunfollow mtu yoyote km unafurahishwa na mambo wanayoyafanya. Mkirudi kw umaskini mkalie kwa hao hao wasanii wenu
Dalili ya umaskini ni chuki na roho mbaya
 
Tatzo lenu maamini unyonge ndo uzalendo. Pata pesa zako mzee kwa kujipambania na njia ni nyingi, kuwa mkulima , kuwa chawa wa ccm kama hao au hustle kama punda bila kujishughulisha na mtu. USIPENDE KULALAMIKA WA KIUME WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…