Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
jibu ni simple ishi maisha yako tu,kama msaada unahitajika toa pasi na hiyana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's a trap, woman's destroys kings. watch-out sio sifa but unategwaa uangushweUnapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.
Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.
Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika 😂
Ameanza kupata neema za peponi ht kabla hajafa 😂Neema ya KE 72 imeanza kutamalaki ukiwa hai.
Hongera sana.
jitahidi kutofautisha kazi na mapenzi. Fuata kilichokupeleka kwenye ofisi husika.Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.
Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.
Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika 😂
Si muda mrefu kazi inakushinda mkuu.kumbuka mtaani ni kugumu sana sahiv.Sasa wewe chagua kufanya yaliyokupeleka hapo au kufanya uliyoyakuta hapo.Kumbuka hao wasichana ni selfish.ukiharibikiwa watakucheka.halafu.kinachofuata ni kukuharibia kazi ili kukukomoa wewe hasa pale utakapo ambatana na mmoja.Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.
Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.
Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika 😂
nakazia,, sio afya kuweka mazoea ya ajabu na mahusiano eneo la kazi..focus mkuuu focus
vinginevyo samwaleko
kabisa yaaninakazia,, sio afya kuweka mazoea ya ajabu na mahusiano eneo la kazi..
huu ushauri powa kabsa wadada wa mjini wanasemaga mbona pambeMwambie boss akufukuze kazi
Inategemea na wewe unataka nini na unathamini nini(values) zako kimaisha. Nacho jua ukiwa na uhalisia bila kuhofia watu utakua huru, ila la msingi wa kwanza ni kuweka mipaka itayolinda maadili yako, kama hupendi mtu akuzoee kiwango cha kujibebisha, basi weka mipaka hiyo wajue huyu jamaa yuko supportive ila Hana mambo ya kijinga, na Ole wako jaribu kutembea na mmoja wako... Ukitaka kufanya hivyo fanya wakati ushapata kazi kwingine la sivyo utajutraaaa!! 😝Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.