Hivi watu mna-handle vipi hii situation

Hivi watu mna-handle vipi hii situation

We mreta mada, we bwana kazi huna hapo ulipo una upwiru mademu hupati, kupiga nyeto viganja vimekomaa kwahy unataman uwe ofis yenye watoto wakali ila sasa ndio hvy hakuna namna acha maisha yaendelee ipo siku utampata akupendae,, sasa kanunue jelly baba lainisha mikono endelea kwea mnazi uachane na mawazo ya hovyo
 
Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.

Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.

Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika 😂
That's a trap, woman's destroys kings. watch-out sio sifa but unategwaa uangushwe
 
Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.

Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.

Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika 😂
jitahidi kutofautisha kazi na mapenzi. Fuata kilichokupeleka kwenye ofisi husika.
 
Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.

Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.

Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika 😂
Si muda mrefu kazi inakushinda mkuu.kumbuka mtaani ni kugumu sana sahiv.Sasa wewe chagua kufanya yaliyokupeleka hapo au kufanya uliyoyakuta hapo.Kumbuka hao wasichana ni selfish.ukiharibikiwa watakucheka.halafu.kinachofuata ni kukuharibia kazi ili kukukomoa wewe hasa pale utakapo ambatana na mmoja.

Boton line piga kazi.uwafanye kama wanaume wenzako tuuu na katika hiyo team work. isitoshe wengine hapo wamekuzidi hata salary.
 
Mimi hii kitu niliimaliza kirahisi saana ila jiandae kuchukiwa na hao wa ofisini.
Tafta pisi kali, namaanisha kali afu iwe na ndinga afu iwe inakufuata muda wa kutoka job. Kwishaa.
Ila jiandae kuchukiwa mpaka na Me wenzako.
Wivu kaumbiwa binaadamu.
 
Kama ofisi ni ya serikali we tembeza rungu tu maana hata ukishtukiwa sana sana ni kuamishwa ofisi tu
 
Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.

Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.

Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika 😂
Inategemea na wewe unataka nini na unathamini nini(values) zako kimaisha. Nacho jua ukiwa na uhalisia bila kuhofia watu utakua huru, ila la msingi wa kwanza ni kuweka mipaka itayolinda maadili yako, kama hupendi mtu akuzoee kiwango cha kujibebisha, basi weka mipaka hiyo wajue huyu jamaa yuko supportive ila Hana mambo ya kijinga, na Ole wako jaribu kutembea na mmoja wako... Ukitaka kufanya hivyo fanya wakati ushapata kazi kwingine la sivyo utajutraaaa!! 😝
 
Wanazitaka hela zako kwa maana wanajua mshahara wako haukatwi kulipia mikopo.

Nishapitia same situation ila niligundua nia yao mapema
 
Back
Top Bottom