Hivi watu waliendaje mbinguni miaka ya nyuma kabla ya ujio wa yesu ambaye ndiyo njia ya kwenda mbinguni?

Kabla ya Ujio wa Yesu,Biblia imenukuliwa na kuwaandika watu wawili ambao walitoweshwa kwa uwezo wa Mungu mwenyewe na wako mbinguni

1.ELIYA - Huyu hakufa bali alitoweshwa kuelekea mbinguni kwa uwezo wa Mungu mwenyewe!,Kwanini alitoweshwa nenda kasome mwenyewe Biblia!

2.MUSA - Huyu alikufa na sababu ya kifo chake ni baada ya kufanya mambo ambayo hawakupaswa kufanya yeye na Haruni,Ukitaka kuelewa zaidi nenda mwenyewe kasome Biblia utaelewa,Lakini baada ya kifo chake Kaburi lake halikuwahi kuonekana!
Huyu pia yuko mbinguni kwasababu baada ya ujio wa Yesu wakati akiwa pale mlima wa mizeituni akiomba,alitokewa na watu wawili (Musa & Eliya) na Biblia imesema kabisa walimtokea ili kuzungumza naye kuhusu kifo chake!

Hivyo katika Biblia,Ni hao watu wawili pekee ambao wametajwa walikwenda mbinguni kabla ya Ujio wa Yesu

Haya yote yalifanyika kwa mapenzi ya Aliyewaumba (Mungu)
 
Subiri makafir yaje, kila moja litakuja na mawazo yake binafsi

Likizidiwa litaanza kuwatukana kobaz
 
Kabla ya Ujio wa Yesu,Biblia imenukuliwa na kuwaandika watu wawili ambao walitoweshwa kwa uwezo wa Mungu mwenyewe na wako mbinguni

1.ELIYA - Huyu hakufa bali alitoweshwa kuelekea mbinguni kwa uwezo wa Mungu mwenyewe!,Kwanini alitoweshwa nenda kasome mwenyewe Biblia!

2.MUSA - Huyu alikufa na sababu ya kifo chake ni baada ya kufanya mambo ambayo hawakupaswa kufanya yeye na Haruni,Ukitaka kuelewa zaidi nenda mwenyewe kasome Biblia utaelewa,Lakini baada ya kifo chake Kaburi lake halikuwahi kuonekana!
Huyu pia yuko mbinguni kwasababu baada ya ujio wa Yesu wakati akiwa pale mlima wa mizeituni akiomba,alitokewa na watu wawili (Musa & Eliya) na Biblia imesema kabisa walimtokea ili kuzungumza naye kuhusu kifo chake!

Hivyo katika Biblia,Ni hao watu wawili pekee ambao wametajwa walikwenda mbinguni kabla ya Ujio wa Yesu

Haya yote yalifanyika kwa mapenzi ya Aliyewaumba (Mungu)
Enock
 
Kwani sasa wanavyoenda wewe wanakuaga au umawaona?
 
Je katika hao wote uliowataja kuna MWAFRIKA,mwarabu,mchina,mhindi,nk aliyeenda huko kabla ya yesu?
 
Mbinguni patamuu
1000508599.jpg
 
Tujitafakari!!
Swali la kitoto sana...maswali kama haya inatakiwa kuulizwa na mtoto wa chini ya miaka 10 ila unaweza kukuta mleta uzi ni jitu lenye miaka 16y na linaulisha utumbo ambao majibu yake ni rahisi.
 
Back
Top Bottom