๐๐๐๐๐๐Ukisoma comments za wapwaa humu huwezi amini kama ni raia wa nchi ambayo film industry inapumulia mirija.
Yaani kila mmoja anaonesha ujuaji wa hali ya juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐๐Ukisoma comments za wapwaa humu huwezi amini kama ni raia wa nchi ambayo film industry inapumulia mirija.
Yaani kila mmoja anaonesha ujuaji wa hali ya juu
Hapana, C-Note ni Franklin Benjamin Milesc note??sio Fernando sucre?
[emoji4][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Ukisoma comments za wapwaa humu huwezi amini kama ni raia wa nchi ambayo film industry inapumulia mirija.
Yaani kila mmoja anaonesha ujuaji wa hali ya juu
Nakubaliana nawe
Kuna huyu jamaa aliemshtukia mapema kabisa Michael kwamba michoro yake ni mpango wa kutoka gerezani..
Vitu kama hivi ni adimu sana kwenye maseries yao.View attachment 1446997View attachment 1446998
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umeshuka fresh ila kumbuka, hawa jamaa wanaobisha yani wanaona Professor ndio katumia akili nyingi zaidi..
Ukiangalia Professor akili yake inawategemea watu wengi zaidi, pia kuna muda anashindwa kufanya maamuzi mpaka sometimes mambo yanaenda tofauti.
Lakini yule bwana Michael matukio mengi anaefanya maamuzi ni yeye mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moto wa PB haugusiki wazee... Matukio ya michael scofield yalikuwa well arranged na ye ndo organizer mkuu...
Mf;
~kwenye s1, katika hali ya kawaida ilikuwa ni ngumu kuamini kuwa jamaa angemtumia pope kiasi cha kuruhusu bro ake aachiwe
~s2 licha ya kutokufanya ubaya wa kusema ni mwenye hatia lakini alienda kutubu dhambi zake baada ya kuiba ile compas
~s3 pale sona wakati wanatoroka, wakina Bellick, T-Bag na yule kiongozi wao wakang'ang'ania kuwa wa kwanza kutoka, naye akawaruhusu... kumbe wao walikuwa chambo bana, hahaha! nilipapenda sana hapa "and this is a plan" wakati mwanzo aliwaambia umeme utakata sekunde 30 na ndo inabid watumie hizo kusepa... alijua wenye kiherehere watapatikana tu
~s4 kwny kuiba cylla, card ya general alijua lazima itajileta tu, na general akabaki anamshangaa kapata wapi kadi nyingine 5?
~s5 poseidon hakuamin mchezo aliofanyiwa na scofield, kachora macho mikononi km passcode, kamfanyia flaming ya tukio alilofanyiwaga na mwisho kapropose awekwe chumba kimoja na t-bag kule gerezan
..Kellerman. Jamaa alikuwa kauzu sana mwanzoni, kuua yeye haoni shida.
Baadae alivyokuja kubadilika, dah! Nikamkubali, japokuwa Sara muda wote alikuwa hamuamini mpaka anakufa.
View attachment 1447756
Sent using Jamii Forums mobile app
Captivity of Negativity View attachment 1447880
Mimi nimeitazama wiki iliyopita Money Heist ina makasoro mengi mno. Nikazama na kwenye international communities nione opinions ni hivyohivyo.Labda hujaangalia heist vizuri... professor pia ana akili ya ziada..
Kwenye upande wa series mademu ni watu wa kufuata mkumbo..Mimi si mpenzi wa series. Lakini, kuna manzi akawa ananisumbua sijui n'takuja na series kali uione. Nimeicheki mpaka season 2 na kidogo season 3..nikamwambia haijanishawishi kuna makosa mengi. Nikamwambia siwezi kuendelea kuitazama.
Series la kiboya sana nilitazama season 1 tena kwa kuvumilia tu series ya kidwanzi sana.Labda hujaangalia heist vizuri... professor pia ana akili ya ziada..
Queen of the south kadri inavyoendelea ndio inazidi kuisha utamu.Series la kiboya sana nilitazama season 1 tena kwa kuvumilia tu series ya kidwanzi sana.
Siku hizi series nzuri ni adimu bora tu interim hata the queen of the south japo nayo haijakithi viwango
Yah wanaforce iendeleeQueen of the south kadri inavyoendelea ndio inazidi kuisha utamu.
Nimeona niachane nayo, mnaoendelea endeleeni tu.
Hivi unaanzaje kwa mfano!!
Yaani Messi umfananishe na Kichuya kweli?! Haiingii akilini!
Niseme tu, mimi ni mmoja kati ya watu tulioangalia series hizo zote 2 na sioni kama ubora ama uzuri wa The Heist unaweza kuupita ule wa Prison Break
Nilichogundua ni kwamba watu wengi wanaosifia The Heist wameanza kufuatilia series kipindi hiki hiyo series ilipotoka na hawajawahi kuangalia Prison Break kabisa. Labda wamesikia tu juu juu kwamba yule mwamba Scorfield mule ndani katumia akili, lakini hawajui alikuwa anafanya nini.
Halafu mtu kama huyo anabishana kwa kulinganisha. Ukimwambia ataje wahusika wa5 wa Prison Break kama kweli kaiona, hawajui!
Siwezi kusema The Heist sio nzuri, ila ni ya kawaida sana na ina mapungufu mengi.
Mifano iko mingi tu ila fikiria huu mmoja.. Hebu jiulize tangu wale watu wafungiwe ndani ya ile benki, umeona wamekula mara ngapi? Mimi kwa upande wangu nakumbuka ni mara moja tu kwenye hii Season ya 4. Kwa sababu chakula ni lazima kitoke nje ya benki.. Kwahiyo mpaka hapo tu wameshindwa kutuwekea uhalisia.
Halafu watu wanaenda mbali zaidi, eti wanamfananisha Scorfield na Professor. Kwamba Professor katumia akili nyingi zaidi.
Niwaambie tu, wale mlioangalia The heist peke yake kisha mkaamua kuja kuwasumbua wadau, tunawaona kama ni Amateurs.. Hamjui kitu!
Eti kuna kidemu nacho kiliniomba nikiwekee The Heist kwenye PC yake wiki chache zilizopita, kashaangalia eti katuma picha kwenye group la Whatsapp ya Professor na Michael ili watu wabishane na yeye anachangia kabisa!
Acheni utani nyie.. Hivi The Heist inaweza kuingia hata kidogo miziki ya 24 au Homeland?
Bado kuna mijitu itakaza vichwa!!
View attachment 1446911View attachment 1446956View attachment 1446957View attachment 1446959View attachment 1446963View attachment 1446965View attachment 1446966
Sent using Jamii Forums mobile app