1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Kuna mdogo wangu kanishauri sana kuangalia hyo money heist
Lakini nlijitahidi kuangalia pale mwanzo mwanzo ila nishukuru wakati tunaangalia ndo mda ule ule game ya man utd ilikuwa inaanza nikamwambia embu badili channel kwanza tuchek football,, mpira ulivoisha hata hakujisumbua kunikumbusha [emoji23][emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app