shabiki
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 965
- 896
Hiyo money heist haiingii hata kwa mzee mzima Raymond Reddington, huwez ilinganisha na PB.
Kuna raia hapa kashaiangalia PB mara saba na anasema haifuti.
Money heist wametumia nguvu nyingi sana kushughulika na jambo dogo. Ingekuwa plan ya Michael scofield, yeye angeondoka na mtambo wa kuchapisha hela siku hiyo hiyo na sio kuchapisha hela humo ndani siku zote zile na kuondoka nazo, wanazidiwa hata na shaur Khan kwenye don 2 aliyeondoka na plate za kuchapisha hela kule uswisi.
Michael scofield kuna wakati hajiandai, anaadapt to mazingira maisha yanaenda. Mfano sona, hakuingia na plan, plan iliianza akiwa humo ndani. Professor plan ikiyumba tu pressure inamuua anakimbilia punching bag.
Money heist professor tu ndo anaakili mingi anaburuza wenzake, prison break kotekote akili mingi, t bag, mahone, barric, kallerman, mpaka wale hit men wa general wote shughuli yao sio ndogo.
Wakina scofield wameenda kumng'oa mpaka rais,
Jaribu kumgusa rais uone moto wake , jack bauer kwenye 24 na homeland s7 wameonyesha vizuri, wanawazoa wote.
Sijaona bado shirika la ujasusi wakifanya ujasusi kumtafuta professor kama alivuotafutwa scofield.
Ni vile tu hii vita ni ya vijana wa leo, wakijaribu kukumbushwa kuwa hakuja jipya wanaloona, yalikuwepo mazuri zaidi.
PB kama PB msijaribu kuifananisha na vitu ya kijinga!!
Sent using Jamii Forums mobile app