Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 854
- 1,476
Hiyo crew yote ya professor ni sawa na mtu mmoja wa PRISON BREAK T-Bag.
#money heist 3.5/10
Sent using Jamii Forums mobile app
#money heist 3.5/10
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh![emoji23] hiyo rate umeua!!Hiyo crew yote ya professor ni sawa na mtu mmoja wa PRISON BREAK T-Bag.
#money heist 3.5/10
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwamba kasheshe lake sio la kitoto,kwanza ni mbabe alafu akili zimejaa kichwani.huyo professor wao angekamatwa kwenye episode ya pili tu na hiyo tamthilia ingekwisha hapohapo..
Umesahau kumalizia mkuu! Money heist ni sawa na futuhi, ndio ni futuhi.Money heist Ni takataka tupu hata robo tu ya prison break haifikii kwanza inatabilika aina matukio mengi ya kusisimua Kama kingine zaidi wanalazamisha story iwe ndefu wakati ubunifu umeisha.Moja ya kitu nilichokipenda kwenye prison break Ni kwamba unakuta watu wenye uadui mkubwa na pia hamuaminiani inafika kipindi mnajikuta mazingira yanawazalimisha mshirikiane hata Kama mna uhasama mkubwa mfano mzuri Ni professor Mahone kuangana na kina Michael scottfield ingawa aliwaulia baba yao mzazi, mfano mwingine Ni T-bag jamaa Ni snitch Sana lakini ilibidi Michael scottfield ashirikiane ili kupata cylla hiyo Ni sehemu tu ndogo ya ubunifu uliotumika kwenye PB atajazungumzia mambo mengine kiufupi money heist itasubiri Sana kufika ubora wa PB.
Mzee umeshuka fresh ila kumbuka, hawa jamaa wanaobisha yani wanaona Professor ndio katumia akili nyingi zaidi..old is gold
mimi siwezi kuingia kwenye mkumbo wa kushabikia kisa nionekane najua,nimeangalia series zote mbili na season zake zote.
kila series ina mapungufu yake na kila moja ina ubora wake sema tu PB ilitoka kipindi hakujawahi kuwa na series kama ya aina ile,na MH ipo kwenye kipindi watu washaona kitu cha aina hii wanaigiza.
tunaipenda PB sababu ya memories,ipo kichwani..sababu tunakumbuka na binadamu tuna tabia ya kusifia vya zamani.
ingawa kwa upande wangu pia PB ni favourite kuliko MH....
characters hawawezi fanana,mfano mtu hapo juu anafananisha Rio na Tbeg...Rio kwenye MH kacheza kama dogo tu mtaalamu wa IT so issue za ubabe usitegemee,alichofunzwa ni kutumia tu bunduki na vitu vingine ila kazi yake kubwa mule ndani ni issue za mitambo.
halafu kumbuka pia Michael aliwachagua watu wake kuzingatia mahitaji yake,sawa..pia wale walikua kwenye gereza la watu wahalifu wakubwa so issue za wao kuwa hard lazima sababu ni wahalifu sugu,akina Rio wameokotwa tu mtaani sababu ni watu hawana cha kupoteza ndio maama hata akiua mende anaanza kulia.
lengo la proffesa ni kuteka na kubuy time waprint mzigo kwa kufanya negotiation...
mazingira mengine yameshaandaliwa miaka kadhaa nyuma huko
Sent using Jamii Forums mobile app
..ambayo Scorfield hana?!Labda hujaangalia heist vizuri... professor pia ana akili ya ziada..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umesahau kumalizia mkuu! Money heist ni sawa na futuhi, ndio ni futuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wadandiaji tu hawajui kitu wanafata mkumbo kusifia ujinga.You nailed it man. Sehemu kubwa ya fanbase ya sasa haijui kuhusu #prison break au #24. Haijui pia kuhusu #the wire au #breaking bad.
Huwa nashangaa sana kuona hawa matozi akina Rio wanafananishwa na kina Sucre. Ndiyo Arturo anaboa ila Bellick alikuwa na show kubwa zaidi.
Kuhusu starring, character ya Scofield iko juu sana ikilinganishwa na ile ya Professor. Pia manzi ake Scofield (Sarah) alikuwa phenomenal kuliko yule Muriro wa Professor.
Kwa sasa Money heist ndiyo habari ya mjini ila kwa PB bado itaendelea kusubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hujaangalia heist vizuri... professor pia ana akili ya ziada..
Hahahaa.. Mkuu kama unataka series za pono na zenye drama za kibabe, mbona kuna mizigo kama Power, GoT, Strike Back,.. etc.Tofauti ni kubwa saaaana pb iko hot muda wote ila money heist kuna wakati inapoa sana halafu haina mizuka kiviiile ila mizuka ilojaa mule ni pono tu kwa ngono mule nimekubali ila mengine ya kawaida saaaaana
Sent using Jamii Forums mobile app
The wire inahusiana na Nini?Wengi wadandiaji tu hawajui kitu wanafata mkumbo kusifia ujinga.
Mfano kama The Wire nauhakika ni asilimia chache sana ya watu wameiona hii show. Bonge moja la show.
Money Heist haifikii hata Breaking Bad
Inahusiana na Nini? Ebu tupe kidogo.Kuna. Kitu kinaitwa colony icho ndo kinafata baada ya PB
Drugs.The wire inahusiana na Nini?