Hivi watu wanaanzaje kuifananisha Prison Break na Money Heist?

Mwaka 2018 January Fox walitangaza kuwa season six itakuwepo lakini kukatokea kamgogoro kati ya Fox na Disney hiyo mwaka jana 2019 August wakatangaza kuwa wame cancel season six.

Lakini producers wa PB wanakuambia "never say never for the future".
Wapumbavu sana Wanatunyima burudani kwa mibifu yao ya kishenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote nzuri aisee..... Ninachokiona watu wengi tuna ile kasumba ya tukishatumia kitu zamani tunaamini kipya hakiwezi kua kama kile. Prison Break ilitufungulia ulimwengu wa series za akili nyingi ila haimaanishi Money Heist si bora au haipaswi kufananishwa nayo
 
Money of heist imepewa promo sana ngoja nijitusu niiwekee bundle
 
Katika series zote, PB haina mpinza never ever. Nakumbuka niliwahi tumia 24 hours naingalia tu hakuna kupumzika. Anayefananisha PB na hizi bongo movie mzee hajitambui na hana uelewa wa ipi series kali na ile ya kawaida. Ni sawa na kufananisha kifo na usingizi.
 
Moto wa PB haugusiki wazee... Matukio ya michael scofield yalikuwa well arranged na ye ndo organizer mkuu...
Mf;
~kwenye s1, katika hali ya kawaida ilikuwa ni ngumu kuamini kuwa jamaa angemtumia pope kiasi cha kuruhusu bro ake aachiwe

~s2 licha ya kutokufanya ubaya wa kusema ni mwenye hatia lakini alienda kutubu dhambi zake baada ya kuiba ile compas

~s3 pale sona wakati wanatoroka, wakina Bellick, T-Bag na yule kiongozi wao wakang'ang'ania kuwa wa kwanza kutoka, naye akawaruhusu... kumbe wao walikuwa chambo bana, hahaha! nilipapenda sana hapa "and this is a plan" wakati mwanzo aliwaambia umeme utakata sekunde 30 na ndo inabid watumie hizo kusepa... alijua wenye kiherehere watapatikana tu

~s4 kwny kuiba cylla, card ya general alijua lazima itajileta tu, na general akabaki anamshangaa kapata wapi kadi nyingine 5?

~s5 poseidon hakuamin mchezo aliofanyiwa na scofield, kachora macho mikononi km passcode, kamfanyia flaming ya tukio alilofanyiwaga na mwisho kapropose awekwe chumba kimoja na t-bag kule gerezan
 
Dah! Mzee unakumbukumbu sana.. Haipingwi mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom