Hivi watu wanaanzaje kuifananisha Prison Break na Money Heist?

Ukisoma comments za wapwaa humu huwezi amini kama ni raia wa nchi ambayo film industry inapumulia mirija.

Yaani kila mmoja anaonesha ujuaji wa hali ya juu
[emoji4][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 

Halafu Michael hajawahi toka out of plans kipuuzi kama profesa alivyo tolewa na chupi ya inspector
 
Akili za Michael wakat anamuacha teabag na yule nigga sona sio za kawaida
Michael anajua chemistry, just imagine toothpastes anatumia kwenye pans
Vipi sasa kwenye physics anatoa nondo ukutani kwa kutumia tism
Bomu alilotaka kumuulia mama yake

Eti mtu msumbufu heist ni yule kibonge wa benki sijui ndio Arturo
Mtu anadeal na akina teabag
Mafia kama John
Na Mr "do you feel me?"

Profesa akiona plan imeyumba tu wenge kama lote. Mara aheme. Sfield sasa, unaona wakati anagundua kuwa Mahone sio mtu wa kawaida, pale pale akaanza kuwaza kwanini Mahone amewaza kama yeye, akajua jinsi ya kudeal na Mahone.

Watajitahidi sana lakini break ni zaidi heist.
 

Unakumbuka wenge la akina Mahone kwenye lile shimo wakati wa kutoroka. Afu jamaa calmly kabisa "this is the plan".
 
..Kellerman. Jamaa alikuwa kauzu sana mwanzoni, kuua yeye haoni shida.

Baadae alivyokuja kubadilika, dah! Nikamkubali, japokuwa Sara muda wote alikuwa hamuamini mpaka anakufa.
View attachment 1447756

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa ni trained hitman. Kama ulimuona alivyo muua yule mzee. Kwa mtu wa kawaida huwezi kuona kama yule mzee alitaka kupiga risasi lakini kwa kalemam alijuta.
 
Mimi si mpenzi wa series. Lakini, kuna manzi akawa ananisumbua sijui n'takuja na series kali uione. Nimeicheki mpaka season 2 na kidogo season 3..nikamwambia haijanishawishi kuna makosa mengi. Nikamwambia siwezi kuendelea kuitazama.
 
Mimi si mpenzi wa series. Lakini, kuna manzi akawa ananisumbua sijui n'takuja na series kali uione. Nimeicheki mpaka season 2 na kidogo season 3..nikamwambia haijanishawishi kuna makosa mengi. Nikamwambia siwezi kuendelea kuitazama.
Kwenye upande wa series mademu ni watu wa kufuata mkumbo..

Kwakuwa kaona kipindi hiki money heist imetangazwa sana kutokana na maendeleo ya utandawazi tofauti na kipindi kile cha PB basi ndo anaona ni bora.

Au unakuta kasikia tu kwa mashoga zake ni nzuri basi na yeye ndio humo humo..

Ukija kumuuliza ipi kali ni lazima atataja aliyoangalia.
 
Series la kiboya sana nilitazama season 1 tena kwa kuvumilia tu series ya kidwanzi sana.
Siku hizi series nzuri ni adimu bora tu interim hata the queen of the south japo nayo haijakithi viwango
Queen of the south kadri inavyoendelea ndio inazidi kuisha utamu.
Nimeona niachane nayo, mnaoendelea endeleeni tu.
 
The heist ni series ya kitoto sana. Ambayo sisi watu wazima tunapoiangalia tunapata mashaka na umakini wa waandaji.ya kitoto ina makosa mengi na wame irefusha bila sababu kabisa.mimi nliangalia se01 nikaamini basi angalau wangemwliza s02 maana hakukuwa na jipya nkashangaa wakaiendeleza kipuuzi kabisa.haina suspense imepoa na ni very poor.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…