Hivi watu wanaofanana na mindset yangu mbona ngumu kuwapata? Je, anapatikana vipi?

Hivi watu wanaofanana na mindset yangu mbona ngumu kuwapata? Je, anapatikana vipi?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
Mindset yangu ni,
Kufocus na biashara,
Nidhamu ya pesa,
Kuwekeza,

Kutunza pesa kabla ya matumizi,
Kutokata tamaa,
Malengo ya muda mrefu,
Kuzingatia bajeti,
Kujenga vyanzo zaidi ya kimoja vya mapato,

.. Kujenga mtandao wa watu wenye hizo mindset, Changamoto ni moja ni kua watu wa jinsi hiyo hapo ni ngumu kuwapata katika dunia ya Leo vijana wengi wapo betting nk.

Msaada jinsi ya kutengeneza mtandao wa growth mindset
 
We unachotafuta ni validation

Wala hautafuti networking.

Sometimes u create and attract the right peoople by doing the right things.

Tofauti na hapo, utaona kila mtu ni mbwa koko kumbe wewe mwenyewe ni mbwa mwitu, asili moja mazingira tofauti
 
Ukiona hauwapati manake changamoto iko kwako, sio kwamba ni ngumu kuwapata.. Anza kubadili sehemu unazoenda, watu unaoenda nao hizo sehemu, badili namna unayovaa, badili namna unayoongea, badili muonekano wako; badili uendane na hao unaowahitaji. "Ndege wafananao ndio warukao pamoja", "nioneshe rafiki zako nitakuambia wewe ni nani".. uhalisia ni kwamba ukitaka kukutana na cycle ya watu wa ku make 100 millions lazima uende sehemu za 100 millions au ufanane na 100 millions. Kila la Keri!
 
Kwa vip?
 
Asante
 
Kwa hizo sifa ni ngumu Sana Kwa bongo hii...Kwahizo sifa lazima utajikuta uko alone muda mwingi..., angalia hata watu waliofanikiwa kiuchumi hawana marafiki wengi wenye sifa kama wao, Ni sawa na kuitafuta Bikra ndani ya wodi ya wazazi..
 
Acha unafiki.

Mindset nye nye nye unahangaika kutuambia ili iweje? Si ufocus na hivyo viatu kiazi mviringo wewe
 
Back
Top Bottom