nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Hapana nachotaka ni networkWe unachotafuta ni validation
Tafadhali naomba msaada jinsi ya kuwapataWapo ila wametulia.
Kwa vip?We unachotafuta ni validation
Wala hautafuti networking.
Sometimes u create and attract the right peoople by doing the right things.
Tofauti na hapo, utaona kila mtu ni mbwa koko kumbe wewe mwenyewe ni mbwa mwitu, asili moja mazingira tofauti
AsanteUkiona hauwapati manake changamoto iko kwako, sio kwamba ni ngumu kuwapata.. Anza kubadili sehemu unazoenda, watu unaoenda nao hizo sehemu, badili namna unayovaa, badili namna unayoongea, badili muonekano wako; badili uendane na hao unaowahitaji. "Ndege wafananao ndio warukao pamoja", "nioneshe rafiki zako nitakuambia wewe ni nani".. uhalisia ni kwamba ukitaka kukutana na cycle ya watu wa ku make 100 millions lazima uende sehemu za 100 millions au ufanane na 100 millions. Kila la Keri!
Kwa vip bossMambo ya kusadikika hayo