Wanaogopa mzimu ya marehemu kuasumbua.Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu?
Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama wanabeti kwamba mtoto akitoboa waje kufaidi peke yao?
Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu?
Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama wanabeti kwamba mtoto akitoboa waje kufaidi peke yao?
Mkuuu hayo mambo ya kugombania Maiti yapo ukanda wa Kaskazini na sababu ni Ulafi wa Mali za Urithi hakuna kingine. Huez skia hizo mambo huko kwingine. Endapo utaziskia basi tambua Kuna kichwa tokea huko Kaskazini kipo kwenye huo mgogoro.Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu?
Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama wanabeti kwamba mtoto akitoboa waje kufaidi peke yao?