Hivi watu wanaogombania kuzika maiti, na wazazi wanaogombania kuleta mtoto, wanafaidika na nini?

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu?

Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama wanabeti kwamba mtoto akitoboa waje kufaidi peke yao?
 
Wanaogopa mzimu ya marehemu kuasumbua.
 
Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu?

Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama wanabeti kwamba mtoto akitoboa waje kufaidi peke yao?

Hiyo huwa kwa matajiri peke yake.Masikini akifa hata tai mzoga wake hawali.
 
Jibu pekee linaweza kupatikana katika maswali na majibu elfu 10 aliyokuwa akitafakari mwanafalsafa Plato kuhusu fumbo la maisha ya mwanadamu.

Kwa mfano, wewe kwako hiyo ni hoja nzito, lakini kuna mwingine hata suala tu la maisha yeye anaona halina maana yoyote. Haoni sababu ya msingi ya kuwepo kwa chochote kilichopo.
 
wabongo ndio maana tunakuwa masikini, umasikini wa fikra ndio chanzo
 
Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu?

Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama wanabeti kwamba mtoto akitoboa waje kufaidi peke yao?
Mkuuu hayo mambo ya kugombania Maiti yapo ukanda wa Kaskazini na sababu ni Ulafi wa Mali za Urithi hakuna kingine. Huez skia hizo mambo huko kwingine. Endapo utaziskia basi tambua Kuna kichwa tokea huko Kaskazini kipo kwenye huo mgogoro.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Siku ingine ukiwakuta wanagombania maiti, waulize na akiwa mgonjwa pia wanamgombaniaga ivyo ivyo kumtibisha, kulipa bill za hospital au ndio unafiki tu.
 
Back
Top Bottom