britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Nimeona wengi wanatafuta wake au waume
Nawapa mwongozo
1. Jitambulishe jina
2. Shughuli zako (si lazima kuweka kipato)
3. Umri wako
4. Watoto (Body count si lazima)
5. Jinsia (Me au ke) kulingana unatafta kuoa au kuolewa
6. Mawasiliano yako
7. Sehemu unapoishi
8. Ikibidi hata elimu yako Muhimu sana watu wajue
9. Background si lazima japo waweza weka!
10. Picha Muhimu sana Picha Muhimu sana nakazia Picha Muhimu sana
Kuna wanaume wanaopenda kuona kwanza ndo wazame
11. Healthy status
12. Umri wa unayemtaka,
13. Dini muhimu
14. Weka unataka wa mkataba au wa maisha, maana kuna wale wa mkataba miezi sita au mitatu kama trial ,
wakijaa PM sasa we ndo unawapa mashart unayotaka
Mi nawasaidia tu sitafti nshaoa!
Britanicca,