Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Umsaidie kwani ulishawahi kumwambia kuwa ana hilo tatizo and now you're looking for the problem's solution.?
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Yaani ni aibu kubwa sana mtu mzima kunuka mdomo na ni kero pia, kwa wengine
Hata wewe unaweza ukawa unanuka mdomo bila kujijua na watu wanakuvumilia tu ili usijisikie vibaya. Si unajua nyani huwa haoni uwekundu wa mikundu wake ila huwa anacheka nyani wenzake kisa kuwa na mikundu yenye rangi nyekundu.
 
Tatizo ni serikali pumbavu ya sisiemu imeshindwa kusimamia mashule yetu hayo mambo yanatakiwa kujengwa toka utotoni mashuleni ...leo hii unakuta mama ntilie anauza chakula kwenye mazingira machafu na watu wazima na watoto wa shule wanakula ...kama hao watoto wangekinaishwa na uchafu kwa mafunzo toka mashuleni wasinge tamani kula chakula kwenye mazingira machafu.
 
Haya ndo mambo unaweza kuamka na kuandika ujinga .

Chukua kidole uchomeke katika Kumma yako halafu unuse usikie harufu yake
 
Hatari sana hii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…