Dominican Republic ni wabaguzi hawapendi watu weusi especially Haitian, kuna mkenya ana YouTube channel anaitwa Marwa alipata kipigo huko Dominican RepublicMtu mweusi ni lazima umtilie mashaka haswa pale anapojifanya yeye ni mwana wa israel kuliko waisrael wenyewe. Hawa tunawaita ma Pastor na masheikh wengi wao ni wauza unga na watakatisha fedha tu
Hilo la Korea hata mm nashangaa, maana inajulikana wazi kabisa kua anapewa msaada mkubwa Sana na USA ili amzidi Korea kaskazni ambae ana ushirika na urusiWatu humu mnatia shaka uwezo wenu wa akili.
Mnashangaa! Uchumi wa Korea kusini upo juu lakini Haiti upo chini?
Hamjadili sababu zipi zilizofanya Korea kusini kuendelea?
Hamuwazi nini kilipelekea Haiti kuanguka baada ya vita ya kukupinga ukoloni na kumlipa faida mfaransa kwa miongo kadhaa.
Badala yake mmedakia na kununua western white superiority ideology kwamba hamuwezi kujiongoza na ninyi ni subhuman?
Haya ni malalamiko ya kawada tu, ulisikia upande wa pili wa story ama uliishia kwenye 'Dominican Republic ni wabaguzi hawapendi watu weusi especially Haitian'??, mtu ana terrorize his/her own community na kuiharibu kwa madawa ya kulevya unaanzaje kumpenda??Dominican Republic ni wabaguzi hawapendi watu weusi especially Haitian, kuna mkenya ana YouTube channel anaitwa Marwa alipata kipigo huko Dominican Republic
Nchi yako hii ya kipumbavu na Korea kaskazini mnalingana ? Achana na Korea kusiniHilo la Korea hata mm nashangaa, maana inajulikana wazi kabisa kua anapewa msaada mkubwa Sana na USA ili amzidi Korea kaskazni ambae ana ushirika na urusi
Haiti Hana msaada wowote Zaidi ya kubebeshwa madeni kila uchao
Nadhani tunapojadili Ni vema tukaangalia Pande zote za shilingi
matatizo ya ngozi nyeusi anayajua mungu..Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Haifikii south korea?🤣😂..ungesema haifikii hata jamhuri ya afrika ya kati. Nchi nyingi za kiafrika ziko vizuri kimaendeleo kuliko ndugu zetu hao nchi ya kwanza ya weusi kua taifa huru. Tusiwalaumu maana wako karibu na beberu mkuu duniani marekani. Pia uhuru waliyopewa na ufaransa ulikua bandia maana wafaransa waliendelea kuitoza haiti kwa miaka mingi kodi kubwa kwa mwaka eti kodi ya kua huru maana nchi hio ilikua mali ya ufaransa. Huwezi amini lakini huo ndio ubeberu wa ufaransa. Inaaminika hadi leo nchi zilizokua makoloni ya ufaransa afrika wanalipa deni ufaransa eti walikua mali ya ufaransa.Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Unaijua Japan?Hivi hawa wenzetu ndiyo Juzi nimeona taarifa Rais Ruto wa Kenya amesaini Mkataba wa kupeleka Jeshi lake Haiti kulinda amani!
Kama Nchi itakuwa kwenye vita na majanga ya asili mara Kwa mara ni vigumu kupiga hatua za maendeleo
Mimi ni mwafrika ila niko Tofauti sana na waafrika wengi, nina aamini Waafrika wengi shida yetu ipo kwenye kuamua kesho yetu na kujitumaJe ni nchi gani ambayo Ina maendeleo ya Africa anayokaa MTU mweusi au duniani
Angalia Jamaica ?
I guess this DNA factor tunavinasaba vya umasikini
Mwafika kulalamika ndiyo jadi yake. Na ukichunguza kwa makini kwenye hayo malalamiko yake yote mara nyingi ni yeye mwenye makosa.
Mkuu Sahihisha walio endelea south Afrika ni Wazungu na wahindi!Mkuu tatizo letu kubwa ni uongozi. Tukubali au tukatae, mtu mweusi kujiongoza hawezi. Tungekubali kuwa tuna hii weakness na tuitafutie solution tungefika mbali.
Na solution ingekuwa ni kuwaajiri ''wazungu'' nafasi zote za uongozi au nafasi muhimu watuongoze. Sisi tubaki kuwa wafanyakazi tu.
Naweza kuonekana kama mjinga kwa kujidharau mimi mwenyewe, lakini hakuna dharau mbaya kama hizi shida tunazopitia wakati tuna kila kitu hata kuwazidi mataifa makubwa.
Hebu ona South Africa. Imeendelea kwa sababu wazungu ndiyo walikuwa viongozi. Waafrika siyo kwamba hawakushiriki kwenye kuijenga, hapana. Walishiriki sana lakini hawakuwa kwenye nafasi za uongozi.
Amnesty international report yaoHaya ni malalamiko ya kawada tu, ulisikia upande wa pili wa story ama uliishia kwenye 'Dominican Republic ni wabaguzi hawapendi watu weusi especially Haitian'??, mtu ana terrorize his/her own community na kuiharibu kwa madawa ya kulevya unaanzaje kumpenda??