Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Naijua Mkuu, ila hali ya Uchumi ya Tanzania huwezi kuifananisha na Japan.Unaijua Japan?
Ni kama Mbingu na Ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naijua Mkuu, ila hali ya Uchumi ya Tanzania huwezi kuifananisha na Japan.Unaijua Japan?
Mimi point yangu ilikuwa hakuna nchi imewahi kuwa na vita na inakumbwa na majanga kama Japan, lakini ina maendeleo makubwa kuliko bara zima la AfricaNaijua Mkuu, ila hali ya Uchumi ya Tanzania huwezi kuifananisha na Japan.
Ni kama Mbingu na Ardhi
Majitu meusi Mungu alitukosea kutuumba kichwani mwetuMwafrika ni mwafrika haijalishi yuko wapi. Ona hata black Americans. Sisi tunapenda sana lawama. Maisha wanayoishi ya kimbwa mbwa halafu baadae lawama nyingi.
Na mkuu acha kulinganisha south korea na mambo ya kipuuzi walau ungeiringanisha na south africa
TANZANIA in uhuru miaka 65 sasa lakini haikutii South Afrika ina miaka 30 ya uhuru.Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Hiyo Haiti ganga violence inaimaliza.Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?

HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI?
Kheri hata Liberia kuliko Haiti.Je Liberia? SOUTHERN INDEPENDENCE MOV
Halafu mtu ambaye ana elimu ya kuung uunga anazunguka nchi nzima kukisifia chama. Ndo maana watoto wa wanasiasa hawapendi shule. Teuzi karibia zote ni za kishabiki. Yaani mtu kama Makonda anakaa kwenye kamati kuu ya kufanya maamuzi ya nchi ? are we serious ? Hii inamaana mtu yeyote ana weza kuwa waziri au kupata cheo chochote ili mradi Rais anampenda.Ndo hawa hawa wanamwambia MTU Wa degree achome mahindi na kutembeza karanga.
Ukiset standard unalaumiwa
Binafsi hii ngozi Ina matatizo mengi Sana.
Nashangaa south korea na Haiti wapi na wapiMwafrika ni mwafrika haijalishi yuko wapi. Ona hata black Americans. Sisi tunapenda sana lawama. Maisha wanayoishi ya kimbwa mbwa halafu baadae lawama nyingi.
Na mkuu acha kulinganisha south korea na mambo ya kipuuzi walau ungeilinganisha na South Africa
DuuuMtu mweusi ni kama ana laana hivi, mfano juzi waziri anaulizwa hali ya uchumi anasema mambo ni shwari kwa sababu kila akitembea njiani anaona gari namba E pia watu wananchangia sana michango ya harusi, sasa kama hiyo ni akili ya mtu aliyepewa wadhifa wa kusimamia uchumi wa watu takribani milioni 60 na ni msomi wa kiwango cha Phd hao walio ishia kidato cha nne watakua na fikira gani??!! kuna maana nyingine ya laana zaidi ya hii kweli??????
Mimi binafsi ningezaliwa ngozi nyeupe ningejitenga na kuwabagua watu weusi kwa sababu inaonekana bado hawajamaliza process ya evolution na kuwa binadamu kamili
Hapo nimekuelewa MkuuMimi point yangu ilikuwa hakuna nchi imewahi kuwa na vita na inakumbwa na majanga kama Japan, lakini ina maendeleo makubwa kuliko bara zima la Africa
Msaada wa nini,nchi ipo dunia ya kwanza ina teknolojia,viwanda unasema imeendelea kwa sababu ya misaada?Ubepari ndio ulioiinua Korea kusini,walichagua upande sahihi wa kiuchumi hata kama una rafu nyingi.Ukiacha China iliyochakachua mfumo wake wa uchumi ipi ya kikomunist yenye maendeleo zaidi ya ubabe ubabe tu?Urusi wameendelea ila maendeleo yao hayaendani na rasilimali walizo nazo.Hilo la Korea hata mm nashangaa, maana inajulikana wazi kabisa kua anapewa msaada mkubwa Sana na USA ili amzidi Korea kaskazni ambae ana ushirika na urusi
Haiti Hana msaada wowote Zaidi ya kubebeshwa madeni kila uchao
Nadhani tunapojadili Ni vema tukaangalia Pande zote za shilingi
watu wamezaliwa vijijini watapangaje mijiIli swali najiulizaga kwanini tumeshindwa kupangilia miji yetu
Wanaohusika na mipango miji ni wasomi wazuri tu sio hao waliotoka kijijinis
watu wamezaliwa vijijini watapangaje miji
Tumezoea misaada kuanzia ngazi za kifamilly had kitaifa!!Inasikitisha sana sisi kubadilika ni ngumu sana sijui tuna matatizo gani?
Ni kweli, lakini nchi yote imeendelea ndiyo point yangu. Kosa ni kuwa waafrika walitengwa wakawa wanaishi kivyao na wazungu kivyao.Mkuu Sahihisha walio endelea south Afrika ni Wazungu na wahindi!
brains 🧠 zero !!Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?