Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Kabisa . Na hakuna jitihada za kueleweka za kutoka0kwenye huu mkwamo. Wale wachache wenye udhubutu wa mabadiliko ya kifikra wanakuwa eliminated haraka sana.
Inasikitisha kweli
ED3zRJKW4AE5v27.jpg
 
not a leader really.

Mahojiano ya Moeletsi Mbeki wa Afrika ya Kusini kuhusu waafrika kulialia na kubeba tumaini lisilokuwepo la kuonewa huruma.

Aainisha matatizo nyeti 15 ya nchi za kiafrika baada ya kupata uhuru, Yaliyoangusha uchumi wa nchi kwa kukosa ujuzi, weledi na uongozi

Matatizo yanayosababisha nchi za Waafrika nchi zao kuburuza mkia katika maendeleo ya watu na vitu ni katika maeneo ya Nishati ya Umeme, elimu duni kuanzia shule msingi hadi vyuoni, Kilimo cha mashamba makubwa, Masoko, viwanda, uongozi, rushwa, upendeleo, maprofesa wasomi kukimbilia ubunge na kazi ktk sekta ya umma badala ya sekta binafsi n.k

Haya mapungufu hapo juu ndiyo msingi sababu nchi za kiafrika zimezidiwa na hata nchi za Asia

Moeletsi Goduka Mbeki is a South African political economist

Moeletsi Mbeki foresees another five years of ANC’s five deadly sins


View: https://m.youtube.com/watch?v=WT15c0w4Soo
 
Mada kama hizi zinatia hasira ya kujitafuta na kahama Africa.
Mkuu usihame, cha kufanya tubadirike.
Kila mmoja kwenye eneo lake ajitathamini.
Fanya kazi kwa bidii, jiepushe na choyo, husda, ubinafsi.
Penda nchi yako na wananchi wenzako
 
Hivi hawa wenzetu ndiyo Juzi nimeona taarifa Rais Ruto wa Kenya amesaini Mkataba wa kupeleka Jeshi lake Haiti kulinda amani!

Kama Nchi itakuwa kwenye vita na majanga ya asili mara Kwa mara ni vigumu kupiga hatua za maendeleo
Vipi japan, vipi Israel.
 
Haiti ilihujumiwa sana, na kuwekewa mikakati kabisa isiendelee sababu ingekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine hasa watumwa kwenye nchi nyingine kama USA etc.

Otherwise ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Hili ndio tatizo sasa ...kila kitu hatukubali kuwajibika lazima tutafute wa kumlaumu... hiyo ndio asili ya mtu mweusi.
 
Nyerere katika Kitabu chake kaelezea ilipo shida ya MTU mweusi.
 

Attachments

  • Screenshot_20240307-152207.png
    Screenshot_20240307-152207.png
    266.2 KB · Views: 3
Hili ndio tatizo sasa ...kila kitu hatukubali kuwajibika lazima tutafute wa kumlaumu... hiyo ndio asili ya mtu mweusi.
Toussaint Louverture and the Haitian Revolution inspired millions of free and enslaved people of African descent to seek freedom and equality throughout the Atlantic world. Toussaint and other black leaders of Saint-Domingue helped to lead the only Atlantic slave society which successfully defeated its oppressors.

Haiti was once the wealthiest, most profitable colony in the world and was France's most prized possession.

France made Haiti paid his colonizers for property loss during the revolutionary war in 1803 under the threat that they would reestablish slavery if Haiti didn't pay them back.
Early in the 19th century, Haiti helped modern-day northwest Brazil, Guyana, Venezuela, Ecuador, Colombia, Panama, northern Peru, Costa Rica, Nicaragua, and Bolivia to obtain their independence.

Haiti was the first nation to permanently ban slavery. But as a nation of freed black slaves, Haiti was a threat to the existing world order. President Thomas Jefferson worked to isolate Haiti diplomatically and strangle it economically, fearing that the success of Haiti would inspire slave revolts back home.

In 1804, Haiti changed the course of the history of the world by becoming the first Black country independent and the first successful slave revolution. The country didn't just defeat Napoleon's army, it crushed slavery by supporting the independence efforts of many countries.

France, with warships at the ready, sailed to Haiti in 1825 and demanded Haiti to compensate France for its loss of slaves and its slave colony. In exchange for French recognition of Haiti as a sovereign republic, France demanded payment of 150 million francs.

The French government finally acknowledged the payment of 90 million francs in 1888 and over a period of about seventy years, Haiti paid 112 million francs to France, about $560 million in 2022.

1709873981713.png
 
Hili ndio tatizo sasa ...kila kitu hatukubali kuwajibika lazima tutafute wa kumlaumu... hiyo ndio asili ya mtu mweusi.

Unafikiri ukiwekewa vikwazo vya kiuchumi na kila aina ya vikwazo, viongozi wote wazalendo kuuliwa na kuwekewa vibaraka na mataifa makubwa duniani kwa wakati huo USA, France, UK kwa miaka zaidi ya 100 kisa mnajitawala ni mchezo.

Pamoja na hayo unaambiwa ulipe deni, sababu ya deni ni kujikomboa , wewe si mtumwa tena hivyo Ufaransa inakosa pesa, kwahiyo inabidi mlipe fidia kubwa kuliko GDP yako kwa zaidi ya miaka 100,Msipolipa wanarudisha utumwa. unatoboaje?

Ile nchi ilitakiwa ikaribishwe kwenye familia za nchi za kidemokrasia 1803. Lakini ilipigwa vita kuhakikisha haisimami.

Toussaint Louverture ni shujaa kwa weusi, kuliko hata Mandela, Martin Luther King pamoja na kwamba wengi hamjawahi kumsikia.

Aliwaunganisha wanyonge, watumwa, wakapigana na jeshi bora kabisa duniani na kulishinda na kujikomboa kutoka utumwani.

Kwa wakati ile lilikuwa colony tajiri, lenye uzalishaji mkubwa kuliko colony lolote duniani.
Fikiria wasingemuua mapema, angeweka misingi ya aina gani kwa Haiti?
 
Vipi japan, vipi Israel.
Mkuu hizo ni Nchi ya Dunia ya Kwanza, huwezi kuzifananisha na Tanzania ambao hadi Leo hii Kuna Shule hazina Walimu.

Kuna Shule za Sayansi lakini hazina Maabara.

Kuna Shule Wanafunzi wanakaa Chini sakafuni.

Kuna Zahanati/Vituo vya Afya hazina Madaktari/Wahudumu wa Afya

Kuna Zahanati/Vituo vya Afya hazina dawa

Nchi ambayo miaka 63 ya Uhuru lakini bado tunapigana na maadui watatu aliowasema Nyerere Mwaka 1961 ambao ni Umasikini, Ujinga na Maradhi.

Juzi nilisikia Kesi ya Viongozi wa Dini sehemu Fulani ndani ya Tanzania eti Wana wakataza Waumini wao kutoenda kuwapatia Chanjo watoto wao wa Chini ya miaka 5.

Imagine miaka 63 ya Uhuru lakini Ujinga bado umetujaa zaidi ya asilimia 75 ya Watanzania.
 
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?

Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.

Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.

Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.

Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.

Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln

GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700

GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)

GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)

Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923

Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion

GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709

GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)

GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)

Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.

Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.

wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k

Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.

ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.

HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI?
Haiti ni nchi ya majanga. Pia ni chanzo cha kudorora maendeleo

HAITI DISASTERS
1770 - Earthquake devastates Port-au-Prince
1842 - Quake destroys Cap-Haitien, other cities
1935 - Storm kills 2,000
1946 - Tsunami kills 1,790
1954 - Hurricane Hazel kills hundreds
1963 - Hurricane Flora kills 6,000 in Haiti and Cuba
1994 - Hurricane Gordon kills hundreds
1998 - Hurricane Georges destroys 80% of crops
2004 - Floods kill 2,600
2004 - Tropical Storm Jeanne kills 1,900
2007 - Tropical Storm Noel triggers mudslides, floods
2008 - Three hurricanes and tropical storm kill 800
2010 - Quake hits Port-Au-Prince, killing thousands

Sources: AP, US Geological Survey
 
Hii thread inaonyesha ni jinsi gani wabongo wengi walivyokosa upeo wa kuona mbali. Hivi mnafikiria tumekosa maendeleo Kwasababu ya rangi ya ngozi yetu?
 
 
Back
Top Bottom