Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

U made my day walai.. 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
lawama zote ziwaendee wazungu, walikuja Africa wakakuta viumbe havijamaliza evolution kufikia homo sapiens bado viko kwenye homoabilis stage, wenyewe wakavilazimisha hivyo viumbe viwe civilized,.... matokeo yake ndo haya sasa, hata umeme wa uhakika unawashinda....
 
Hapa kama Kuna kaukweli fulani hivi.
Maana hata Sasa utaona tunalazimisha demokrasia ya Mzungu ilihali unaona kabisa sisi bado ni primitive na hii demokrasia tunayoilazimisha ipo Kwa ajili ya civilized society.
 
Naelewa ila ndo pasiwe na mchanganyioko wa race nyingine kabisa...naona ni wao tuu ma black...
Wakati wa vita waliwapiga sana wazungu wakaamua kuondoka na kuwacha,jamaa wana uhuru kitambo sana ila ndio hivyo tena
 
Mwanzo wa suluhu ni kukubali ukweli, mimi nakiri Waafrika tuna kasoro ya kuwa low IQ, hata kama kuna wachache wetu ambao wafaulu kuwa na akili, lakini wengi wetu ni hovyo tu.
Hata taifa la Nigeria ambalo ni weusi tupu na lililopaswa kuwa na utajiri mkubwa ila kutwa vita vya kidini, kikabila na mauchawi ya hovyo.
 
Bado hajajua kuwa south korea ni tajir kuliko nchi zote za ulaya ukitoa germany.luxemburg etc...hajajua..ni tajir kuliko italy ma takataka zingne
 
Bado hajajua kuwa south korea ni tajir kuliko nchi zote za ulaya ukitoa germany.luxemburg etc...hajajua..ni tajir kuliko italy ma takataka zingne
Unanieleza mimi au unamweleza mtoa mada niliyemwambia aache kulinganisha south korea na mambo ya kijinga?
 
Watu weusi tulilaaniwa mkuu ndo maana tuna Roho mbaya mno,yaani alipo mtu mweuusi ujue kuna mkosi na alipo mtu mweupe ujue kuna Baraka
 
... walijinyakulia uhuru kwa Mapinduzi ya damu dhidi ya wakoloni wa kifaransa miaka 200 iliyopita na kwa muda mrefu sana ulimwenguuliwatenga!
 
Very stupid lile jitu la kwetu yan aisee inasikitisha sana
 
Ulisemalo laweza kuwa kwa %chache sana, tuelewe kuwa mzungu kuna namna alivyoset hii dunia ili aendelee kuitawala na ukiangalia kwa makini utaona ngozi nyeusi ndilo kundi la mwisho ambalo amelenga ili lisijinasue kutoka kwenye lindi la umasikini, kuendesha nchi haina tofauti sana na kuendesha familia, sio rahisi sana kutoka familia ya kimasikini mara ghafla tu unakuwa tajiri bila kushikwa mkono, ni lazima awepo mtu akwambie pita hapa na pale mwisho utatoboa, lakn fikiria kila ulifanyalo kuna mtu anaweka kauzibe, yeye anakandamiza tu usiinuke unadhani kuna siku utatoboa?
 
Tatizo la mwafrika Kwa kweli Ni kupenda shirt cut kwenye maendeleo bhasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…