Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hivi hawa wenzetu ndiyo Juzi nimeona taarifa Rais Ruto wa Kenya amesaini Mkataba wa kupeleka Jeshi lake Haiti kulinda amani!

Kama Nchi itakuwa kwenye vita na majanga ya asili mara Kwa mara ni vigumu kupiga hatua za maendeleo
Hivi kwa majanga ya asili sisi tunaweza wafikia Japan, Marekani, China?
 
Soma Historia ya Haiti vizuri na Deni la Kitumwa walilokuwa wakimlipa Mfaransa na kuingiliwa na Marekani ili Watumwa wa Marekani wasiige KUPINDUA Serikali.

Mimi nimachoshangaa ni sisi Watu weusi wa Afrika kutokuisaidia Haiti hata ikibidi kutuma Majeshi na Misaada.
 
Hiyo South Korea walipigana vita wenyewe kwa wenyewe kwa muda wa miaka 3. Una jua nini kilitokea baina yao baada ya hiyo miaka 3 ya vita, maana yake walirudi kukaa chini na waka amua kuwa serious tujenge nchi sasa.

Sipendi vita na wala sitabiri vita ila Tanzania tunako elekea tuta anza chapana wenyewe kwa wenyewe ili akili ikae sawa.
Kila aina ya rasilimali ila ona umasikini tulionao.
 
Aliyepewa laana ni kanani,
Hakuwa mtu mweusi

Babu wa watu weusi kulingana na Biblia aliitwa Kushi
 
Mie nakubaliana na wazungu wanavyotuita watu weusi ni manyani, maana sio kwamba tunafanana na nyani NO! Ila akili zetu ni kama za nyani. Mfano, Wawepo nyani wa 5 wamwagie ndizi kama 25 hivi, watazigombea hapo na wenye nguvu wanaweza kuondoka na ndizi 15 na mwingine 10 na hao wengine wa 3 wakaambulia patupu wabaki na njaa zao. Na watu weusi ndivyo tulivyo wachache wanaiba wanajilimbikizia mabilioni ya pesa na majumba makubwa makubwa wakati hawezi kuyaishi hayo yote na kuwaacha wengi wao hata kupata mlo mmoja ni tatizo. Kwa hio sishangai sana kwa hali hio ya Haiti na South Korea. Hata nchi nyingi za Africa zilipata uhuru miaka sawa na Singapore, Indonesia na Malaysia. Lakini leo angalia nchi za Africa zilivyo nyuma, UMEME TU NI SHIDA WA MGAO, MAJI YA BOMBA SHIDA na yakitoka MACHAFU na linganisha na Singapore au Indonesia. Ngozi nyeusi tuna shida ni laana hii.
"Miafrika ndivyo tulivyo" - Nyani Ngabu.
 
Kwenye hii list hapa umeelewa nini? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1765064536107966708?t=c9vGNU44VkFBpqV6OjSJMA&s=19πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Umeshasema ujinga, uchawi ,uhalifu, hiyo ndiyo kazi yao, hata South Africa nayo nisababu ya makaburu, wao kazi waifanyayo ni kucheza ngoma.
 
Aaahaaaa
 
Kwamba nimepindisha historia kuwa Haiti sio masikini kupindukia ? Kama ni deni marekani mpaka leo anailipa Japan mabilioni ya pesa baada ya vita vya pili vya dunia lakini si masikini kama Haiti
 
Tatizo la africa linaeleweka wala tusijitoe uchizi na ndiyo maana wanaopiga nawo madili wanawacheka,
Viongozi wengi wao wakishapata madaraka hawawazi maendeleo ya nchi na kuwaza kizazi kijacho kitakuwa cha namna gani,
wanachowaza wao ni wao na familia zao!
sasa muda ukifika kwa kile kile kizazi cha nyoka chenye njaaa lazima pasikalike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…