Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hiyo South Korea walipigana vita wenyewe kwa wenyewe kwa muda wa miaka 3. Una jua nini kilitokea baina yao baada ya hiyo miaka 3 ya vita, maana yake walirudi kukaa chini na waka amua kuwa serious tujenge nchi sasa.

Sipendi vita na wala sitabiri vita ila Tanzania tunako elekea tuta anza chapana wenyewe kwa wenyewe ili akili ikae sawa.
Kila aina ya rasilimali ila ona umasikini tulionao.
Tanzania inaelekea shimoni mwa Haiti
 
Mtu mweusi ni kama ana laana hivi, mfano juzi waziri anaulizwa hali ya uchumi anasema mambo ni shwari kwa sababu kila akitembea njiani anaona gari namba E pia watu wananchangia sana michango ya harusi, sasa kama hiyo ni akili ya mtu aliyepewa wadhifa wa kusimamia uchumi wa watu takribani milioni 60 na ni msomi wa kiwango cha Phd hao walio ishia kidato cha nne watakua na fikira gani??!! kuna maana nyingine ya laana zaidi ya hii kweli??????
Mimi binafsi ningezaliwa ngozi nyeupe ningejitenga na kuwabagua watu weusi kwa sababu inaonekana bado hawajamaliza process ya evolution na kuwa binadamu kamili
Kwamba Nyani waliochangamka??
 
Hawa washenzi Haiti wana soko la kuuziana uchawi ila kuuziana maendeleo hawana pumbavu kabisa
Duu[emoji15][emoji15][emoji15] kuuziana uchawi Mungu wangu, na kipigo walichokipata kutoka kwa Mungu bado tu.

Ndiyo wakenya wanataka kupeleka Askari wao wakalinde amani, wakati wananchi wao wanalia na wakora wa mifugo na alshababu! Ukisikia akili za waafrika ndiyo hizo
 
Mtu mweusi hakukamilika katika mageuzi ya kuwa binadamu,hasa kwenye kipengele muhimu na hadhimu Cha "Akili".Ndio maana Kaburu Botha alisema waliamua kuwaengua waafrika katika mipango ya maendeleo ya South Africa sababu wangeharibu,kwani mwafrika ni ishara ya udumavu wa akili na fikra.Leo hii ANC ya South Africa wanaharibu South Africa badala ya kuijenga.

Angalia hata matendo ya wapigania uhuru,walipinga kwa nguvu zote sheria za wakoloni kwa kuziona za ukandamizaji cha kushangaza walipo pewa uhuru,wakazitumia sheria hizo hizo kuwa kandamiza Waafrika wenzao.

Kipindi mataifa ya Korea kusini,China na Singapore wanafanya mageuzi ya kuleta maendeleo katika mataifa yao, viongozi wa Afrika walikuwa bize kubishana na wazungu walio watawala na wengine wakaenda mbali zaidi kwa kuwa na fikra za "zidumu fikra za Mwenyekiti" wazo kinyume na fikra za Mwenyekiti ni kosa mfano Oscar Kambona

Huwezi endelea kwa kuwapa wapumbavu wawe viongozi,maana unakuwa umechimba Kaburi lako mwenyewe.
 
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?

Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.

Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.

Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.

Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.

Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln

GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700

GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)

GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)

Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923

Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion

GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709

GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)

GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)

Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.

Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.

wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k

Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.

ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.

HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?

Haiti ilihujumiwa sana, na kuwekewa mikakati kabisa isiendelee sababu ingekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine hasa watumwa kwenye nchi nyingine kama USA etc.

Otherwise ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
 
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Maajabu ya kuwaua Indigenous people?
Afrique kusini-Boers wameua.
Australian majambazi ya baulaya. Wezi -Wameua
Australia was a penal colony

Canada-Wameua.
New Zealand- Wameua

Unahita hayo maajabu.

Ukufe muroo
 
Mie nakubaliana na wazungu wanavyotuita watu weusi ni manyani, maana sio kwamba tunafanana na nyani NO! ila akili zetu ni kama za nyani. Mfano, Wawepo nyani wa 5 wamwagie ndizi kama 25 hivi, watazigombea hapo na wenye nguvu wanaweza kuondoka na ndizi 15 na mwingine 10 na hao wengine wa 3 wakaambulia patupu wabaki na njaa zao. Na watu weusi ndivyo tulivyo wachache wanaiba wanajilimbikizia mabilioni ya pesa na majumba makubwa makubwa wakati hawezi kuyaishi hayo yote na kuwaacha wengi wao hata kupata mlo mmoja ni tatizo. Kwa hio sishangai sana kwa hali hio ya Haiti na South Korea. Hata nchi nyingi za Africa zilipata uhuru miaka sawa na Singapore, Indonesia na Malaysia. Lakini leo angalia nchi za Africa zilivyo nyuma, UMEME TU NI SHIDA WA MGAO, MAJI YA BOMBA SHIDA na yakitoka MACHAFU na linganisha na Singapore au Indonesia. Ngozi nyeusi tuna shida ni laana hii.
"Miafrika ndivyo tulivyo" - Nyani Ngabu.
Kama sio laana basi kuna shida kubwa sana mahali
 
Kuna kifungu katika biblia kina sema watoto wa Nuhu walimchungulia baba yao wakati amelewa , mmoja akaanza kumcheka wawili wakaenda kumfunika, Kisha Nuhu alipopata ufahamu akatoa laana kwa huyu mtoto aliyekuwa anamcheka, ambaye Sasa inaoneka ni mtu mweusi kwamba atakuwa mtumwa wa wenzie. Kwa ujinga huu wa watu weusi inabidi tukubali tu maandishi ya kwenye bible.
Huyo ni Hamu baba wa Kanaani

Mwanzo 9:21 au soma Mwanzo 9:18-28
 
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?

Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.

Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.

Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.

Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.

Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln

GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700

GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)

GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)

Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923

Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion

GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709

GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)

GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)

Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.

Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.

wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k

Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.

ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.

HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Akishatia Maguu tu Mtu mweusi basi Ardhi inalaaniwa.

They are good at Sex, alcohol, dancing and marrying many wives.
 
Soma Historia ya Haiti vizuri na Deni la Kitumwa walilokuwa wakimlipa Mfaransa na kuingiliwa na Marekani ili Watumwa wa Marekani wasiige KUPINDUA Serikali.

Mimi nimachoshangaa ni sisi Watu weusi wa Afrika kutokuisaidia Haiti hata ikibidi kutuma Majeshi na Misaada.
Hakuna nchi isiyo na historia na kunyonywa

Mbona Japan na Ujerumani walilipa sana gharama ya vita ya pili kwa Allied Powers tena hapa juzi na Leo wameshatusua,tena Karne ya 20

Hao Haiti kinachowasumbua ni uvivu na roho mbaya
 
Tatizo la africa linaeleweka wala tusijitoe uchizi na ndiyo maana wanaopiga nawo madili wanawacheka,
Viongozi wengi wao wakishapata madaraka hawawazi maendeleo ya nchi na kuwaza kizazi kijacho kitakuwa cha namna gani,
wanachowaza wao ni wao na familia zao!
sasa muda ukifika kwa kile kile kizazi cha nyoka chenye njaaa lazima pasikalike
Huko ndipo tunapoelekea machafuko kuongezeka zaidi
 
Mkuu tatizo letu kubwa ni uongozi. Tukubali au tukatae, mtu mweusi kujiongoza hawezi. Tungekubali kuwa tuna hii weakness na tuitafutie solution tungefika mbali. Na solution ingekuwa ni kuwaajiri ''wazungu'' nafasi zote za uongozi au nafasi muhimu watuongoze. Sisi tubaki kuwa wafanyakazi tu. Naweza kuonekana kama mjinga kwa kujidharau mimi mwenyewe, lakini hakuna dharau mbaya kama hizi shida tunazopitia wakati tuna kila kitu hata kuwazidi mataifa makubwa. Hebu ona South Africa. Imeendelea kwa sababu wazungu ndiyo walikuwa viongozi. Waafrika siyo kwamba hawakushiriki kwenye kuijenga, hapana. Walishiriki sana lakini hawakuwa kwenye nafasi za uongozi.
Uko sahihi.

Kiongozi Yuko Radhi afiche Bilioni 500 akala na wahuni wenzie kuliko kujenga Mradi wa maji ukabudumia watu Milioni 2
 
Back
Top Bottom