Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Tanzania inaelekea shimoni mwa Haiti
 
Kwamba Nyani waliochangamka??
 
Hawa washenzi Haiti wana soko la kuuziana uchawi ila kuuziana maendeleo hawana pumbavu kabisa
Duu[emoji15][emoji15][emoji15] kuuziana uchawi Mungu wangu, na kipigo walichokipata kutoka kwa Mungu bado tu.

Ndiyo wakenya wanataka kupeleka Askari wao wakalinde amani, wakati wananchi wao wanalia na wakora wa mifugo na alshababu! Ukisikia akili za waafrika ndiyo hizo
 
Mtu mweusi hakukamilika katika mageuzi ya kuwa binadamu,hasa kwenye kipengele muhimu na hadhimu Cha "Akili".Ndio maana Kaburu Botha alisema waliamua kuwaengua waafrika katika mipango ya maendeleo ya South Africa sababu wangeharibu,kwani mwafrika ni ishara ya udumavu wa akili na fikra.Leo hii ANC ya South Africa wanaharibu South Africa badala ya kuijenga.

Angalia hata matendo ya wapigania uhuru,walipinga kwa nguvu zote sheria za wakoloni kwa kuziona za ukandamizaji cha kushangaza walipo pewa uhuru,wakazitumia sheria hizo hizo kuwa kandamiza Waafrika wenzao.

Kipindi mataifa ya Korea kusini,China na Singapore wanafanya mageuzi ya kuleta maendeleo katika mataifa yao, viongozi wa Afrika walikuwa bize kubishana na wazungu walio watawala na wengine wakaenda mbali zaidi kwa kuwa na fikra za "zidumu fikra za Mwenyekiti" wazo kinyume na fikra za Mwenyekiti ni kosa mfano Oscar Kambona

Huwezi endelea kwa kuwapa wapumbavu wawe viongozi,maana unakuwa umechimba Kaburi lako mwenyewe.
 

Haiti ilihujumiwa sana, na kuwekewa mikakati kabisa isiendelee sababu ingekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine hasa watumwa kwenye nchi nyingine kama USA etc.

Otherwise ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
 
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Maajabu ya kuwaua Indigenous people?
Afrique kusini-Boers wameua.
Australian majambazi ya baulaya. Wezi -Wameua
Australia was a penal colony

Canada-Wameua.
New Zealand- Wameua

Unahita hayo maajabu.

Ukufe muroo
 
Kama sio laana basi kuna shida kubwa sana mahali
 
Huyo ni Hamu baba wa Kanaani

Mwanzo 9:21 au soma Mwanzo 9:18-28
 
Akishatia Maguu tu Mtu mweusi basi Ardhi inalaaniwa.

They are good at Sex, alcohol, dancing and marrying many wives.
 
Hakuna nchi isiyo na historia na kunyonywa

Mbona Japan na Ujerumani walilipa sana gharama ya vita ya pili kwa Allied Powers tena hapa juzi na Leo wameshatusua,tena Karne ya 20

Hao Haiti kinachowasumbua ni uvivu na roho mbaya
 
Huko ndipo tunapoelekea machafuko kuongezeka zaidi
 
Uko sahihi.

Kiongozi Yuko Radhi afiche Bilioni 500 akala na wahuni wenzie kuliko kujenga Mradi wa maji ukabudumia watu Milioni 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…