Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #61
InasikitishaUMeenda mbali sana kwa kuilinganisha na South Korea.. Haiti hata ukiilinganisha na TZ, wabongo tumeshaiacha mbali
Urongo.Ushirikina, Uvivu, Chuki, Wivu,Tamaa, Uroho wa Mali na Madaraka.
We unaona Nchi ya Haiti na CCM wana tofauti?Hakuna nchi isiyo na historia na kunyonywa
Mbona Japan na Ujerumani walilipa sana gharama ya vita ya pili kwa Allied Powers tena hapa juzi na Leo wameshatusua,tena Karne ya 20
Hao Haiti kinachowasumbua ni uvivu na roho mbaya
Hata mie nilijiuliza huyu si msomi na anajiita msomi wa kiwango cha juu! Kule kwao nako wameendelea mkipita na basi wanakimbilia na mhindi mmoja mkononi nako wameendeleaMtu mweusi ni kama ana laana hivi, mfano juzi waziri anaulizwa hali ya uchumi anasema mambo ni shwari kwa sababu kila akitembea njiani anaona gari namba E pia watu wananchangia sana michango ya harusi, sasa kama hiyo ni akili ya mtu aliyepewa wadhifa wa kusimamia uchumi wa watu takribani milioni 60 na ni msomi wa kiwango cha Phd hao walio ishia kidato cha nne watakua na fikira gani??!! kuna maana nyingine ya laana zaidi ya hii kweli??????
Mimi binafsi ningezaliwa ngozi nyeupe ningejitenga na kuwabagua watu weusi kwa sababu inaonekana bado hawajamaliza process ya evolution na kuwa binadamu kamili
Wanaenda kupiga madiliDuu[emoji15][emoji15][emoji15] kuuziana uchawi Mungu wangu, na kipigo walichokipata kutoka kwa Mungu bado tu.
Ndiyo wakenya wanataka kupeleka Askari wao wakalinde amani, wakati wananchi wao wanalia na wakora wa mifugo na alshababu! Ukisikia akili za waafrika ndiyo hizo
Upo sahihi Mimi mpaka huwa najiuliza hizi safari za viongozi wetu nje huwa wanaenda kujifunza wanayo yaona kwa hao walioendelea au wanaenda kutalii tu ?Mtu mweusi hakukamilika katika mageuzi ya kuwa binadamu,hasa kwenye kipengele muhimu na hadhimu Cha "Akili".Ndio maana Kaburu Botha alisema waliamua kuwaengua waafrika katika mipango ya maendeleo ya South Africa sababu wangeharibu,kwani mwafrika ni ishara ya udumavu wa akili na fikra.Leo hii ANC ya South Africa wanaharibu South Africa badala ya kuijenga.
Angalia hata matendo ya wapigania uhuru,walipinga kwa nguvu zote sheria za wakoloni kwa kuziona za ukandamizaji cha kushangaza walipo pewa uhuru,wakazitumia sheria hizo hizo kuwa kandamiza Waafrika wenzao.
Kipindi mataifa ya Korea kusini,China na Singapore wanafanya mageuzi ya kuleta maendeleo katika mataifa yao, viongozi wa Afrika walikuwa bize kubishana na wazungu walio watawala na wengine wakaenda mbali zaidi kwa kuwa na fikra za "zidumu fikra za Mwenyekiti" wazo kinyume na fikra za Mwenyekiti ni kosa mfano Oscar Kambona
Huwezi endelea kwa kuwapa wapumbavu wawe viongozi,maana unakuwa umechimba Kaburi lako mwenyewe.
Mimi nawaza kuja na ideas zangu kama mbil ivi, ni heavy maana ni uzalishaji wa ...sitasem moja kwa moja, ambpo nikifanikiwa nitatengeneza ajira za kudumu kwa vijana wa tz, ila nawaza sasa nitakavyopigwa vita na ccm, sjui mpk uwe benet nao dah mpk nakat tamaa, nawaza labd niende abroad.Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Ingekuwa mbali wapi kwa kuendekeza uchawi ?Haiti ilihujumiwa sana, na kuwekewa mikakati kabisa isiendelee sababu ingekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine hasa watumwa nvhi nyingine.
Otherwise ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Nenda pale Mauritius uoneHaiti ilihujumiwa sana, na kuwekewa mikakati kabisa isiendelee sababu ingekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine hasa watumwa nvhi nyingine.
Otherwise ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Hamu aliuona uchi wa babaye, lakini Nuhu akatoa laana kwa Kanaani mwanaye, halafu jamani huo si uonevu kabisa kwanini asiitoe Kwa Hamu mwenyewe.A
Aliyepewa laana ni kanani,
Hakuwa mtu mweusi
Babu wa watu weusi kulingana na Biblia aliitwa Kushi
Hayo ni makosa yao. Kwani waafrika mlikuwa hamuuani kabla ya wazungu ?Maajabu ya kuwaua Indigenous people?
Afrique kusini-Boers wameua.
Australian majambazi ya baulaya. Wezi -Wameua
Australia was a penal colony
Canada-Wameua.
New Zealand- Wameua
Unahita hayo maajabu.
Ukufe muroo
Sisi sio mengi isipokuwa huwa yanajirudia.Hivi kwa majanga ya asili sisi tunaweza wafikia Japan, marekani, China ?
Hivyo ni vichaka tu
Unataka kusema nini ?Ulishawahi enda marekani ukaa hata kidogo
Waisrael walichomwa na Hitler,ila Leo wapo juu
Tafrani tupuAkishatia Maguu tu Mtu mweusi basi Ardhi inalaaniwa.
They are good at Sex, alcohol, dancing and marrying many wives.
Sahihi kabisaHakuna nchi isiyo na historia na kunyonywa
Mbona Japan na Ujerumani walilipa sana gharama ya vita ya pili kwa Allied Powers tena hapa juzi na Leo wameshatusua,tena Karne ya 20
Hao Haiti kinachowasumbua ni uvivu na roho mbaya
tu minimises.Hayo ni makosa yao. Kwani waafrika mlikuwa hamuuani kabla ya wazungu ?