Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Haiti ni watumwa tu Waafrica kabisa tena wa manzese uwanja wa fisi walipelekwa kulima Miwa na wareno na Spaniola.
Wametoka Angola,Moçambique,Nigeria na nchi zingine hapahapa Africa.
So unategemea hao watu watakuwaje.
 
Hoja nzito sana hii.

Hiyo jamii ya Korea, China, Japan wana akili nzuri sana
 
Ungeweka picha za Korea vijijini pia,au walau ungeweka za port au prince
 
Vita vya Korea marekani alikua pamoja na Leo inayoitwa Korea kusini,akampa kila msaada aliouhitaji ili kuipiga bao kaskazini ya kijamaa ili ubepari uonekane Bora,Hilo tafu alilotoa kwa Korea kusini angetoa kwa nchi yoyote Africa ingefika mbali,Ila afrika haitakiwi kujikweza sababu ya rasilimali zake,maana watazikosa,wanatukandamiza kupitia madeni,na Sasa wamepandisha thamani ya Dola ili madeni yetu yakue tupige mark time
 
Kwamba nimepindisha historia kuwa Haiti sio masikini kupindukia ? Kama ni deni marekani mpaka leo anailipa Japan mabilioni ya pesa baada ya vita vya pili vya dunia lakini si masikini kama Haiti
Usisahau pia, kuwa kuna madeni Uingereza imekuwa ikiwalipa Wote walioathirika na biashara za Utumwa. Kama sikosei wamelipa madenipaka miaka hii ya 2000's Mabilioni.

Tatizo fedha hizo zimeenda kwa wale Wazungu waliodai wameathirika kwa usitishwaji wa Biashara hiyo na sio kwa wahenga, waliohamishwa na kuharibiwa Uchumi wao.

Sasa kama Marekani anamlipa Mjepu, kwanini asimlipe Mwafrika?

Kwanini Mwingereza amlipe Mwingereza mwenzake na asimlipe Mwafrika?

Zingatia madai yao, kwamba wanawalipa wahanga-wahanga walikuwa ni wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…