Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sahihi mkuu, lakini chanzo cha mgogoro huu ni kundi la wahuni kuvamia jela ili kuwatoa wafungwa.Matatizo ya Haiti sio ulinzi tu hata ufukara wa kutisha
Hoja nzito sana hii.Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Ili swali najiulizaga kwanini tumeshindwa kupangilia miji yetuMtu mweusi na makazi yasiyopangika a.k.a slum nngumu sana kuvitenganisha.
View attachment 2926025
Huna shusha uzito ya mawuwajiNini ?
Hata wewe tena. KaziHakuna kitu sipendi kama nikiona kijana anaiga pigo za Black Americans ,jamaa ni washamba hawajielewi ,kesi zote za hovyo wapo ...Hao hao wanamalizana wao kwa wao kila siku.
Aibu tupu hao jamaa.
Kwa sababu ya kuwepo kwa JANGA LA AKILI MBOVU KWA WATU WEUSI WENGI ZAIDI.Ili swali najiulizaga kwanini tumeshindwa kupangilia miji yetu
Ungeweka picha za Korea vijijini pia,au walau ungeweka za port au princeHivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Viti kama nini So Special?Kuna vitu vinatulazimisha sisi kubaguliwa kabisa
wewe una akili zipi?Kwa sababu ya kuwepo kwa JANGA LA AKILI MBOVU KWA WATU WEUSI WENGI ZAIDI.
Ila Haiti marekani anapenda Sana kutia mkono,sijui kwa nini!?Mfano mzuri ni nchi iliyopakana na haiti, The Dominican Republic Ukizilinganisha ni mfano wa mbingu na ardhi
Amechanganya watu na picha.Ungeweka picha za Korea vijijini pia,au walau ungeweka za port au prince
Vita vya Korea marekani alikua pamoja na Leo inayoitwa Korea kusini,akampa kila msaada aliouhitaji ili kuipiga bao kaskazini ya kijamaa ili ubepari uonekane Bora,Hilo tafu alilotoa kwa Korea kusini angetoa kwa nchi yoyote Africa ingefika mbali,Ila afrika haitakiwi kujikweza sababu ya rasilimali zake,maana watazikosa,wanatukandamiza kupitia madeni,na Sasa wamepandisha thamani ya Dola ili madeni yetu yakue tupige mark timeHiyo South Korea walipigana vita wenyewe kwa wenyewe kwa muda wa miaka 3. Una jua nini kilitokea baina yao baada ya hiyo miaka 3 ya vita, maana yake walirudi kukaa chini na waka amua kuwa serious tujenge nchi sasa.
Sipendi vita na wala sitabiri vita ila Tanzania tunako elekea tuta anza chapana wenyewe kwa wenyewe ili akili ikae sawa.
Kila aina ya rasilimali ila ona umasikini tulionao.
Usisahau pia, kuwa kuna madeni Uingereza imekuwa ikiwalipa Wote walioathirika na biashara za Utumwa. Kama sikosei wamelipa madenipaka miaka hii ya 2000's Mabilioni.Kwamba nimepindisha historia kuwa Haiti sio masikini kupindukia ? Kama ni deni marekani mpaka leo anailipa Japan mabilioni ya pesa baada ya vita vya pili vya dunia lakini si masikini kama Haiti
Tumia mu reason mukichwa wacha maneno ya kudismiss na mlingano wa hovyoWaisrael walichomwa na Hitler,ila Leo wapo juu
Acha kuleta vichaka visivyo na maana hapa
Nakazia...Rangi nyeusi yoyote ile imelaaniwa.