Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Jitenge tu. Watu weusi wana mambo meusi sana.
Mimi nilijitenga ki fikra. Sipo nao kabisa.
 
Tatizo ni CHADEMA kuwaalika hawa mawakala kutifua watu.

Wameenda kuwaalika hawa ma fashisti kuwafanyia kampeni zao za Miamsho. Hawajali kabisa hali za Wananchi-wanataka madaraka tu.

Tatizo wamekuja na kampeni za kutukana badala ya kuja na ajenda na sera za maana.


Wananchi washituke. Kampeni hizi zinaratibiwa na CHADEMA....mnakumbuka maneno ya Lema Arusha baada ya kurudi kutoka Canada?
 
Moja wapo ya matatizo ya jamii ya kiafrika ni kuwa na watu wa aina yako,ambaye ana dhani kuwa kumchukia aliye kuzidi ni moja wapo ya mafanikio.
Waarabu unawalinganisha na waafrika kwalipi hasa ?
Mbona hata hapa nchini kwako waarabu ndo wanao miliki uchumi wa nchi yako wakati nyinyi weusi mmekomaa na uchawa na uzembe?

Nchi nyingi za Kiarabu ni moja wapo ya nchi ambazo raia wao wanaishi maisha yenye ubora wa hali ya juu hapa duniani kuzidi hata wazungu.
Kati ya nchi 10 ambazo raia wake wanaishi maisha bora duniani 3 ni nchi za Kiarabu.
 
Mbona sababu ya umasikini wao umeishaitaja paragraph ya tatu hapo juu!
 
Hili swala la Dollar aisee nahisi itafika mpaka elfu 5...sielewi kabisa yani wana mpango gani hawa jamaa
 
Watu humu mnatia shaka uwezo wenu wa akili.

Mnashangaa! Uchumi wa Korea kusini upo juu lakini Haiti upo chini?

Hamjadili sababu zipi zilizofanya Korea kusini kuendelea?

Hamuwazi nini kilipelekea Haiti kuanguka baada ya vita ya kukupinga ukoloni na kumlipa faida mfaransa kwa miongo kadhaa.

Badala yake mmedakia na kununua western white superiority ideology kwamba hamuwezi kujiongoza na ninyi ni subhuman?
 
Hamu aliuona uchi wa babaye, lakini Nuhu akatoa laana kwa Kanaani mwanaye, halafu jamani huo si uonevu kabisa kwanini asiitoe Kwa Hamu mwenyewe.
Hiyo stori ni ya uongo. Nabii wa Allah Nuh (Amani ya Allah iwe juu yake) hakufanya hayo. Haya ni matusi ambayo Mitume wa Allah wametukanwa na mashetani waovu. Allah awalipe wanayostahiki waliotunga matusi haya kwa Mitume wake.
 
Afrika ni laana nduguyangu viongozi wa Africa wanaroho mbaya sana kwa wananchi wao.
Dubai imeendelea kwa miongo 2 tu.
 
Nimeona video moja hhko police+wanajeshi wanakumbia
Maeneo yao 😄
Huko sahv watu wanataka wale nao keki ya taifa
System ilishafeli,system ilishakuwa
Corrupt hayo ndiyo matokeo yake

Ova
 
Ngozi nyeusi ina laana kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…