The Dominican republic.Dominka SI ipo chini ya USA?
(Note: republic - ni nchi huru)ImbecileUshirikina,unafki,uongo,uchawa,chuki,roho mbaya,wizi,ufisadi na majungu! mwafrika ni laana kabisa.
Foreign direct investment iliyopelekwa Dubai unaweza linganisha na taifa Gani la mtu mweusiAfrika ni laana nduguyangu viongozi wa Africa wanaroho mbaya sana kwa wananchi wao.
Dubai imeendelea kwa miongo 2 tu.
Nenda dodom- CDA walifanya kazi nzuri kupangilia mji, wakatenga viwanja vya makazi, biashara, sehemu za burudani, kupumzikia, nyumba za Ibada, etc. magufuli kaja kwa papara akavunja CDA, kila kitu wakapewa halmashauri ya jiji. Zile open space zote wamekatakata wameuza viwanja (slums)Ili swali najiulizaga kwanini tumeshindwa kupangilia miji yetu
Hii story ni tungo tu za wayahudi kujustify kutumikisha watu wengine na pia wazungu wakaitumia kujustify kutumikisha waafrika ila havina ukweli wowote .. hamna ushahidi wowote kwamba huyo ham alikuwepo, au hio Noah's flood story...most importantly hamna ushahidi kwamba kizazi hicho ndo waafrika..tuliingizwa mkenge tu na kuamini wazunguKuna kifungu katika biblia kina sema watoto wa Nuhu walimchungulia baba yao wakati amelewa , mmoja akaanza kumcheka wawili wakaenda kumfunika, Kisha Nuhu alipopata ufahamu akatoa laana kwa huyu mtoto aliyekuwa anamcheka, ambaye Sasa inaoneka ni mtu mweusi kwamba atakuwa mtumwa wa wenzie. Kwa ujinga huu wa watu weusi inabidi tukubali tu maandishi ya kwenye bible.
Acha watu wajadili,Mbona unajibu kila kituUpo sahihi ifike muda tuambizane ukweli na tukubaliane na huo ukweli wenyewe hata kama una tuumiza.
Kuna mahali tunafeli pakubwa na sisi tunajifanya kutokukubalina na hali hiyo.
Mkuu unaufaham kias asili yetu naomba kwa kifupiA
Aliyepewa laana ni kanani,
Hakuwa mtu mweusi
Babu wa watu weusi kulingana na Biblia aliitwa Kushi
Mbona huko mbali? Tunahongwa kofia, fulan na kanga tunamchagua tusie mtaka!!!!!Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Tumwambie au Tumuache???Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?

Umefundishwa hivo tangu uko tumboni kwa mama ako !Hatuwezi kukubadiliTatizo linaanzia kwenye Ngozi, linafuatia kwenye akili
Hii ngozi tu yenyewe ni tatizo, ina laana ya tangu enzi
Popote wanapoishi watu weusi kuna matatizo makubwa, Ujinga mwingi na Uchafu usiokoma, sio Africa, America, Australia na kwingineko
Watu weusi kiasili wana shida zifuatazo:-
1) Wavivu sana wa kufanya kazi za kutumia akili
2) Sio Wabunifu wala Wagunduzi, wala akili haiwazi kubuni au kugundua chochote chenye manufaa kwa Wanadamu wenzie
3) Hatupendani (Hatuna Upendo) ila tuna Unafiki kwa asilimia kubwa sana
4) Hatuna maarifa
5) Watu weusi ni Waharibifu, hata wakitengezewa vyoo vizuri, Fly overs, viwanja vya michezo n.k watakojolea huko na kuharibu kila kitu na hawataweza kurepair
6) Watu weusi ni WEZI na MAFISADI..wako radhi waibe pesa zote katika hazina ilihali watoto hawana madawa mahospitalini
Unaamini hivoVita za watu weusi husababishwa na wao wenyewe .
Katika maisha mambo mengi mabaya huwa binadamu wanayachagua wenyewe
Unauhakika kua mtu mweusi hawezi jiongoza!Mkuu tatizo letu kubwa ni uongozi. Tukubali au tukatae, mtu mweusi kujiongoza hawezi. Tungekubali kuwa tuna hii weakness na tuitafutie solution tungefika mbali.
Na solution ingekuwa ni kuwaajiri ''wazungu'' nafasi zote za uongozi au nafasi muhimu watuongoze. Sisi tubaki kuwa wafanyakazi tu.
Naweza kuonekana kama mjinga kwa kujidharau mimi mwenyewe, lakini hakuna dharau mbaya kama hizi shida tunazopitia wakati tuna kila kitu hata kuwazidi mataifa makubwa.
Hebu ona South Africa. Imeendelea kwa sababu wazungu ndiyo walikuwa viongozi. Waafrika siyo kwamba hawakushiriki kwenye kuijenga, hapana. Walishiriki sana lakini hawakuwa kwenye nafasi za uongozi.
Kupanga vitu viwe sawa ni jambo ambalo limetushinda kabisaMtu mweusi na makazi yasiyopangika a.k.a slum nngumu sana kuvitenganisha.
View attachment 2926025
Matatizo ya Haiti ni ya muda mrefu sio ya Leo wala janaNi sahihi mkuu, lakini chanzo cha mgogoro huu ni kundi la wahuni kuvamia jela ili kuwatoa wafungwa.
Inasikitisha kweliHaiti ni watumwa tu Waafrica kabisa tena wa manzese uwanja wa fisi walipelekwa kulima Miwa na wareno na Spaniola.
Wametoka Angola,Moçambique,Nigeria na nchi zingine hapahapa Africa.
So unategemea hao watu watakuwaje.
TrueMatatizo ya Haiti ni ya muda mrefu sio ya Leo wala jana