Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Ili swali najiulizaga kwanini tumeshindwa kupangilia miji yetu
Nenda dodom- CDA walifanya kazi nzuri kupangilia mji, wakatenga viwanja vya makazi, biashara, sehemu za burudani, kupumzikia, nyumba za Ibada, etc. magufuli kaja kwa papara akavunja CDA, kila kitu wakapewa halmashauri ya jiji. Zile open space zote wamekatakata wameuza viwanja (slums)
 
Kuna kifungu katika biblia kina sema watoto wa Nuhu walimchungulia baba yao wakati amelewa , mmoja akaanza kumcheka wawili wakaenda kumfunika, Kisha Nuhu alipopata ufahamu akatoa laana kwa huyu mtoto aliyekuwa anamcheka, ambaye Sasa inaoneka ni mtu mweusi kwamba atakuwa mtumwa wa wenzie. Kwa ujinga huu wa watu weusi inabidi tukubali tu maandishi ya kwenye bible.
Hii story ni tungo tu za wayahudi kujustify kutumikisha watu wengine na pia wazungu wakaitumia kujustify kutumikisha waafrika ila havina ukweli wowote .. hamna ushahidi wowote kwamba huyo ham alikuwepo, au hio Noah's flood story...most importantly hamna ushahidi kwamba kizazi hicho ndo waafrika..tuliingizwa mkenge tu na kuamini wazungu
 
Inasikitisha sana, miji mingi wanayokaa weusi US iko hovyo sana, hakuna jambo mweusi anafanya vizuri.
 
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?

Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.

Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.

Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.

Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.

Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln

GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700

GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)

GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)

Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923

Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion

GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709

GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)

GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)

Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.

Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.

wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k

Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.

ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.

HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Mbona huko mbali? Tunahongwa kofia, fulan na kanga tunamchagua tusie mtaka!!!!!
 
Tatizo linaanzia kwenye Ngozi, linafuatia kwenye akili

Hii ngozi tu yenyewe ni tatizo, ina laana ya tangu enzi

Popote wanapoishi watu weusi kuna matatizo makubwa, Ujinga mwingi na Uchafu usiokoma, sio Africa, America, Australia na kwingineko

Watu weusi kiasili wana shida zifuatazo:-

1) Wavivu sana wa kufanya kazi za kutumia akili

2) Sio Wabunifu wala Wagunduzi, wala akili haiwazi kubuni au kugundua chochote chenye manufaa kwa Wanadamu wenzie

3) Hatupendani (Hatuna Upendo) ila tuna Unafiki kwa asilimia kubwa sana

4) Hatuna maarifa

5) Watu weusi ni Waharibifu, hata wakitengezewa vyoo vizuri, Fly overs, viwanja vya michezo n.k watakojolea huko na kuharibu kila kitu na hawataweza kurepair

6) Watu weusi ni WEZI na MAFISADI..wako radhi waibe pesa zote katika hazina ilihali watoto hawana madawa mahospitalini
 
Ukisoma vitabu vingi vya wazungu toka enzi za ukoloni walishaandika kwamba blacks can never manage themselves. Walishaona na kuishi nao. Sisi ni aina tofauti ya binadamu, siyo waungwana, si wakweli n.k ndiyo maana tunasachiwa sana huko kwenye viwanja vya ndege vya watu.
 
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?

Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.

Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.

Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.

Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.

Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln

GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700

GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)

GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)

Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923

Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion

GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709

GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)

GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)

Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.

Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.

wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k

Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.

ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.

HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
Tumwambie au Tumuache???
 
Tatizo linaanzia kwenye Ngozi, linafuatia kwenye akili

Hii ngozi tu yenyewe ni tatizo, ina laana ya tangu enzi

Popote wanapoishi watu weusi kuna matatizo makubwa, Ujinga mwingi na Uchafu usiokoma, sio Africa, America, Australia na kwingineko

Watu weusi kiasili wana shida zifuatazo:-

1) Wavivu sana wa kufanya kazi za kutumia akili

2) Sio Wabunifu wala Wagunduzi, wala akili haiwazi kubuni au kugundua chochote chenye manufaa kwa Wanadamu wenzie

3) Hatupendani (Hatuna Upendo) ila tuna Unafiki kwa asilimia kubwa sana

4) Hatuna maarifa

5) Watu weusi ni Waharibifu, hata wakitengezewa vyoo vizuri, Fly overs, viwanja vya michezo n.k watakojolea huko na kuharibu kila kitu na hawataweza kurepair

6) Watu weusi ni WEZI na MAFISADI..wako radhi waibe pesa zote katika hazina ilihali watoto hawana madawa mahospitalini
Umefundishwa hivo tangu uko tumboni kwa mama ako !Hatuwezi kukubadili
 
Mkuu tatizo letu kubwa ni uongozi. Tukubali au tukatae, mtu mweusi kujiongoza hawezi. Tungekubali kuwa tuna hii weakness na tuitafutie solution tungefika mbali.

Na solution ingekuwa ni kuwaajiri ''wazungu'' nafasi zote za uongozi au nafasi muhimu watuongoze. Sisi tubaki kuwa wafanyakazi tu.

Naweza kuonekana kama mjinga kwa kujidharau mimi mwenyewe, lakini hakuna dharau mbaya kama hizi shida tunazopitia wakati tuna kila kitu hata kuwazidi mataifa makubwa.

Hebu ona South Africa. Imeendelea kwa sababu wazungu ndiyo walikuwa viongozi. Waafrika siyo kwamba hawakushiriki kwenye kuijenga, hapana. Walishiriki sana lakini hawakuwa kwenye nafasi za uongozi.
Unauhakika kua mtu mweusi hawezi jiongoza!

Kama hivo ndivyo kwanini Wazungu wanahangaika kuua Vingozi bora wa africa ambao wamekataa kua vibaraka
1.Patric Lumumba
2.John sankara
3.Magufuri
4.Gadafi
 
Attachments

  • CE746F70-360B-4072-B817-8D547E5A0416.jpeg
    CE746F70-360B-4072-B817-8D547E5A0416.jpeg
    61.2 KB · Views: 6
Haiti ni watumwa tu Waafrica kabisa tena wa manzese uwanja wa fisi walipelekwa kulima Miwa na wareno na Spaniola.
Wametoka Angola,Moçambique,Nigeria na nchi zingine hapahapa Africa.
So unategemea hao watu watakuwaje.
Inasikitisha kweli
 
Back
Top Bottom