Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

Muone Rostam na SINGASINGA
 
Tukiachana na maneno ya mtandaoni

METL ni biashara ya Dewji Family
AZAM ni biashara y Bakheresa Family
IPP ni biashara ya Mengi Family
VUNJA BEI ni biashara ya Fred Family

Hawa wotee hawajashirikiana na watu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hauwezi kujua kila kitu Ila biashara zina watu ndani yake.

Hakuna kampuni yoyote kubwa ambayo watu hawashirikiani .

Bakhressa mwenyewe kakuzwa na Mwinyi (Rais) na Mwinyi anamiliki hisa Katika Hiyo kampuni
 
Nakukuhakishia miaka hiyo haifiki nitakuwa na hizo hela na kwa njia za halali
 
Sijaelewa uhusiano kati ya kujiunga CCM na kuwa tajiri.

Pia sijaelewa kwanini unataka utajiri, hata kama utakuwa kwa njia zisizo halali. Uko tayari kukosa uhuru kwa kuhofia kukamatwa kwa dhulmu zilizokupa utajiri?

Ulipotaabika kama yatima na kunyanyaswa na ndugu zako, tatizo haikuwa kukosekana fedha, tatizo lilikuwa kukosekana maadili na moyo wa huruma. Kama umejifunza jambo, sambaza ujumbe wa upendo na huruma kwa yatima na wasiojiweza. Kujitajirisha kwa dhulma na unyang'anyi sio jawabu.

Ushauri wangu, jikite kwenye kupata mahitaji yako muhimu na akiba kiasi. Usiwe mtumwa wa utajiri kiasi cha kuingia kwenye jinai na dhambi.
 

Kuhusu koneksheni unaitengeneza wewe ,upo wapi , nani amekuzunguka na umemtumia kwa kiasi gani mtu /watu hao ulionao muda huo hakuna kiumbe kimezaliwa kina rafiki anzia kwenye ngazi hiyo hiyo uliyopo na uheshimu wazee
NB:hakikisha huonekani unashida sana , uso wako usionekane depressed ,pesa haipendi matatizo kukulia changamoto hakuhusiani kabisa na wewe kuwa milionea au mtu wa hali duni bado una nafasi na muda mwingi jitahidi kutafuta watu ambao unahisi kwanamna flani wamekuzidi
 
Nilinunua Eka 50 Kilolo mwaka 2019 nikapanda Pine zoteee
2023 ziliungua zoteee na shamba nikauza.

Ikawa mimi na kilimo ndio byebye.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Weka miti mingine,usitoke kwenye line,panda miti mingine kwingine,Mimi nimeanza upya kupanda miti, Iringa magumashi this time Niko Morogoro nimeanza upya kabisa na wala sina muda na kelele za watu, sababu sishindani na mtu ni passion yangu kupanda miti,na wala Sina haraka hata kama ajira ikiisha poa tuu kila mtu ashinde maechi zake kivyake.
Miti mingi Iko.poa.Ukipata ardhi y pwani kusini inagawiwa nipe mchongo, asset ni mpangozima.
Hivi unajua makete hekari moja inakodishwa kwa zaidi ya laki tano hadi nne,Tupambane mpaka shetbi aseme nehi.
 
Ynwa96
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…